Mapenzi ni kasheshe na raha pia

Mapenzi ni kasheshe na raha pia

Monda kubwa

Senior Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
121
Reaction score
158
Ukiwa na rafiki yako Wa kike (mpenzi) mmekaa miezi minne then ukatokea kumjali sana halafu baadae yeye akaanza kama kukubadilikia na kukupotezea hivi dawa si na wewe unampotezea wanajamii forums.
 
Ndio dawa yake hiyo mkuu...

Lakini inauma sana kupotezewa na mwanamke kama hujawahi kupewa mambo hata siku moja
Unajilaumu yani
 
Hapana, kanipa Mara 100 ila aliniigizia nikafall in love sasa kumbe alikuwa muigizaji tu. Yan mpaka nilimnunulia smartphone alikuwa hana hata simu

Atakukumbuka mpotezee smartphone imemzingua anakutana mambo mapya kwake mitandaoni mpaka aje kuyaelewa vizuri atakuwa used.
 
Naona nimpotezee tu hivyo hivyo wala sihangaiki hata kugombana naye
Atakukumbuka mpotezee smartphone imemzingua anakutana mambo mapya kwake mitandaoni mpaka aje kuyaelewa vizuri atakuwa used.
 
Back
Top Bottom