Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yes, she has to follow the rules.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kuwa mke wako amesahau ku charge simu, yuko field hivyo hakuna sehemu ya kucharge simu mpaka jioni. Kuliko akose mawasiliano unaweza kumpa simu yako yenye full battery aende nayo kazini wakati...
15 Reactions
114 Replies
9K Views
Nenda mahali. Ambapo Uwepo wako Utathaminiwa ' Usiende Mahali Ambapo Uwepo wako Utavumiliwa. ..UPendo ni Zawadi
13 Reactions
223 Replies
11K Views
*YOUR WIFE* _*19 ways to fix your wife - before/when she is falling apart!*_ _Your wife can be dying in silence while still performing her wifely duties._ _you will need to know her to know...
8 Reactions
35 Replies
4K Views
My today thought as one among many Men out there.. "It’s absolutely unfair for women to say that guys only want one thing: sex. We also fancy food."
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night, Ukweli usiku...
3 Reactions
100 Replies
9K Views
habari wana jamii forums,natumain nyote wazima na wale ambao afya zao haziko fiti mungu azidi kuwafanyia wepesi mpate kupona. twende moja kwa moja , katika maisha yangu sikuwahi kufikiria kama...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimeamini kweli suala la kusex kwa mala ya kwanza si jambo dogo maana nimejionea mwenyewe. Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 19 ivi katika kupambana kwangu sijawahi kufanikiwa adi sasa...
5 Reactions
69 Replies
8K Views
Kuna Mambo unaweza kuyafanya ukiwa unajua kwa asilimia zote uko wrong lakini kuyaacha unashindwa, Sio muumini wa thread za mapenzi japo ni sehemu ya maisha yangu but nauona kabisa mwisho wangu...
13 Reactions
298 Replies
27K Views
Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani...
22 Reactions
111 Replies
10K Views
Chamkieni fursa hiyo haijirudii mara mbili,ofa inaisha mwezi wa nane tarehe nane.. anatafutwa mwanamke wa kuolewa mwenye vigezo hivi *Uwe mfupi *uwe mweusi tiiiii *uwe na kitambi kiasi *uwe na...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Nigga fall asleep Usifall inlove [emoji54][emoji54][emoji54]
1 Reactions
3 Replies
927 Views
Hii tabia ni mbaya na ni dhambi kubwa kumsingizia mpenzi wako mwizi kwa kisingizio cha kuzenguana Ni mara ya pili nataka kushuhudia tukio la hivi,Mara ya kwanza nikiwa chuo,mwanamke alikuwa na...
12 Reactions
156 Replies
10K Views
Wakuu nimekua mhanga sana wa kujichua, nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimevunja ungo. Hali hii imefanya nabadili wanaume sababu kila naedate nae najikuta hanilidhishi hata tukienda 30mns non...
1 Reactions
74 Replies
13K Views
nimewahi sikia si chini ya mara mbili na wengine unakuta ni walokole wanaosema hivyo! hivi jamani wine sio pombe? au sababu ni tamu! ninavyojua mimi wine nyingi zina kiasi kikubwa cha pombe kuliko...
0 Reactions
62 Replies
25K Views
Naombeni huo msaada tafadhali
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau kuna mwanamke mmoja tumeanza mahusiano tuna mwezi sasa lakini kabla ya hapo tulikuwa tukifahamiana na kuwa na urafiki wa kawaida ingawa nilikuwa ninaonyesha kuwa mimi ni mtu ambaye nina...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hizi ndio nyakati bora kabisa za kuunganisha nguvu. Hapa nalenga watu waaminifu pekee. Dunia ya sasa inawatesa sana watu waaminifu. Kila aina ya baya ama ovu linalofanyika waathirika wakubwa ni...
5 Reactions
69 Replies
7K Views
Back
Top Bottom