Hivi kwanini wanawake wenye mashosti wanakuwa wasumbufu zaidi kwenye mahusiano?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,696
172,654
Eti inakuwaje wanawake wenye vigenge vya mashoga ndio wanaoongoza kwa tabia zisizo rafiki kwenye mahusiano yani tamaa na wao kupenda makuu zaidi kuliko wale ambao wako socially independent? Yani kwa mahusiano niliopitia na mengi nayoyaona kudumu bila mikiki ni yale ambayo mwanamke anakuwa katulia na maisha yake tu hana tabia za ushoga ila wale ambao wapo na marafiki rundo ndio mahusiano yao yanayumbaga.

Hebu fanyeni kushea uzoefu wadau.
 
Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."

Ni tabu tupu
 
Mashost ni kama wakikutana humu JF wanajazana ujinga tu.
 
Tayari ushasema mashosti! Wanakutana wenye tabia tofauti halafu kila mmoja anaiga tabia ya mwenzake!

Sasa kama huo ushosti ni wa watu wanne imagine mtu mmoja kuwa na tabia za watu wa nne!

N:B, Ndege wafananao huruka pamoja!
 
Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."

Ni tabu tupu
Mkuu nimecheka sana 😀😀😀😀
 
Tayari ushasema mashosti! Wanakutana wenye tabia tofauti halafu kila mmoja anaiga tabia ya mwenzake!

Sasa kama huo ushosti ni wa watu wanne imagine mtu mmoja kuwa na tabia za watu wa nne!

N:B, Ndege wafananao huruka pamoja!
Ndege wafananao huruka pamoja hapa ndipo kwenye point yenyewe yaani akiona mwanamke aliye nae ana mashosti wa hovyo basi asitafute lawama ajue na wake ni mmoja wapo anapenda tabia hizo.
 
Kuna ushauri wa kila aina mzuri na mbaya kutoka Kwa mashosti so ukishindwa kuuchuja na kuchanganya na akili zako utaishia kuvuruga mahusiano yako, unaweza kushauriwa usimbembeleze babe wako kwani wapo wengi tu,akizingua mmwage dooh ,usipokua makini akikukwaza kidogo tu unampa kibuti,
 
Mwanamke akisimama mwenyewe na akasikilizana na mumewe mambo yanaenda poa.
Lakn akiwa na marafiki pembeni..... Ushauri mbaya ndo unaanzia hapo.....
Utasikia "unambembeleza huyo ni mama yako?".
"Unakomaa na biashara za mwanaume....tafuta zako hizo ni zake".
"Shoga nimedanga nimepata hiki hapa nawe jiongeze huyo sio mama yako...."
"Hata ukiachika bado inalipa asikusumhue huyo....."

Ni tabu tupu
duh
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom