SIELEWI NIFANYE NINI NISAIDIENI

Mr Sas

Member
Feb 2, 2015
60
43
Wadau kuna mwanamke mmoja tumeanza mahusiano tuna mwezi sasa lakini kabla ya hapo tulikuwa tukifahamiana na kuwa na urafiki wa kawaida ingawa nilikuwa ninaonyesha kuwa mimi ni mtu ambaye nina interest na yeye ila akawa ananizingua ila mpaka kufika mwanzoni mwa mwezi wa sita akakubali tuwe wote over suddenly juzi usiku kani block kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama IG na SNAPCHAT halafu jana asubuhi ananitumia message WhatsApp ya kunisalimia na kuniita MY LOVE, MY BABY hivi hapa kuna upendo kweli wakuu au imekula kwangu emu nisaidieni mawazo
 
tia block huyo
 
Zuga ajae nyavuni ummiminie mbegu zote
 
Back
Top Bottom