Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Ndio itakua kwenye ww2Hahaha kwenye ww2 ..sindio? ...
Wapo bwana '-ila ni wao wenyewe ni waoga wakujiingiza tu kwenye mahusiano wakati hawana uhakika wa usalama wa mioyo yao na mahali wanapotaka kujiweks
Kabisa...yaan hakuna jemaKuna mtu unaweza ukampenda sana na ukaonyesha upendo wote kumbe anakereka.
Well noted!
Japo mimi nimewahi kumtenda mtu.Kabisa...yaan hakuna jema
Tatizo ni pale ambapo unaona unathaminiwa lakini moyo wako haupo huko.Ndio ''Maana ukaambiwa Upendo wako upeleke mahali Ambapo Utathaminiwa
Ha ha ha ukutakjwa hata kua nae huyoJapo mimi nimewahi kumtenda mtu.
Kuna mtu aliwahi kunipenda ila alikuwa ananikera akiniambia "I love you'' nilikuwa nashikwa na hasira balaa.
Yaani akinionyesha mahaba sitamani hata kuyaona yaani, akawa anaishia kuniambia tuu " sasa nifanye nini maana kila ninachofanya nakosea".
Hivi Saint Ivuga hawezi kabisa kutoa huo upendo?[emoji23][emoji23]Tatizo wa kukupa upendo wa hvo sijui walishakufaga
Si umuache? Kwa nini uishi ndani ya himaya ambayo kwa hakika unakereka kuwepo?Tatizo ni pale ambapo unaona unadhaminiwa lakini moyo wako haupo huko.
Haya mambo haya, acha tuu
Sio kila anayeambiwa let's end this relationship huwa anakubali.Si umuache? Kwa nini uishi ndani ya himaya ambayo kwa hakika unakereka kuwepo?
Ni heri kumwambia mtu ukweli, ataumia at first lakini mwisho ataelewa, kuliko kuishi kiwiziwizi...
Awezee wap yule kashazeekaHivi Saint Ivuga hawezi kabisa kutoa huo upendo?[emoji23][emoji23]