Eebaanaaae!
Mimi ndimi.
Ebana Mimi kama Mimi, napenda sana Mbunye a.k.a K ambayo haijanyolewa, kitu iwe na masharafa yamekizunguka kishimo basi mambo yanakua ni yenteeeee!
Yani vumbazzi zikiwa...
Tuliwahi kugombana na mama zetu wakwe tukutane hapa kwa ushauri zaidi!
Kwa kifupi mama mkwe ni sawa na mama yako mzazi kabisa!ila kuna mama wakwe vichomi kweli kweli,unakuta unagombana na mkeo...
Napenda urafiki
Mimi Ni mwanamke ,mfanyabiashara,nipo dar es salamu.nipo single
Nina miaka 35.
Naitaji marafiki wote wa kunisupport kwa biashara yangu na maisha kwa jumla
Asanteni
Familia nyingi ni tukutu na kaidi kwa agizo la mwenyezi Mungu '' Mume anaachana na wazazi wake na aambatane na mkewe wao watakuwa mwili mmoja''.
Cha ajabu mwanaumea anaingia kwenye ndoa na...
Alisikika Dada mmoja akiyanena hayo akiwa anaongea na simu na mume mtarajiwa wake..
Aseeeee! Hivi hii kitu kumbe bado ipo?? Na utakuta mwanamke anaesema hivyo ashaliwa utamu sana sio bikra wala...
Kama mwanamke ulimpenda Kisha akukimbie utapata taabu sana.nina mifano miwili ya ndugu zangu wa karibu mmoja Ni mjomba wangu alikuwa hamjali mke wake dakika ya mwisho mke kaondoka na watoto kaenda...
Hello everybody,
Mimi ni kijana mwenye miaka 20+....
Nimekua member wa JF kwa muda sasa nikisoma nyuzi katika majukwaa mbali mbali, lakini nilivyo pitia hili jukwaa kwa muda wa week chache...
Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi.
MIMI:
Kijana wa kiume.
Mkristo.
Mweusi, mrefu kiasi.
Sina kazi ya kudumu wala biashara ila...
Huo ni wakati ambao maangamizi ya HIV yalishika kasi ya hatari.
Karibu kila familia ilipoteza ndugu, jamaa au rafiki hasa kule ukanda ule wa mbali. Kuna familia ziliangamia kabisa.
Wengi ya...
Nakumbuka vituko tulivyokuwa tunafanya sekondari hadi huruma aisee,jamani tuwalee watoto wetu katika maadili mema
Angalia vituko hivi
1,Binti mmoja alikuwa na boyfriend hapo shuleni,sasa shuleni...
Long time sijaonekana huku.
Anyway.
Sikuhiz nimekuwa na addiction ya kuangalia Status za watu whatsapp.
It's amaizing kwa sababu unaweza jua moods na vitu ving kuhusu watu kwa kupitia hivyo.
Kuna...
Kuna maswali huwa yananitatiza kidogo kuhusu kumtongoza mwanamke!
1:unapoanza kumtongoza mwanamke wengine wana tabia ya kutokujibu sms kwa wakati,ama asijibu kabisa ama akawa ana ignore Simu zako...
Kuna wanao kimbia au kukataa watoto. Uzeeni wakiwa na shida ndiyo hutafuta watoto wao.
Kuanzia umri wa miaka mitatu, ubongo wa mtoto unatunza kumbukumbu. Wengi mnakumbuka jinsi mzazi...
habari wanajamvi.
naombeni ushauri kuhusu kuoa mwanamke mnywaji wa pombe.
mimi nimekulia pombe toka utoto lakini nilipfikia miaka kama 14 niliacha mpaka sasa niko zaidi ya 28.
nimekuwa na bahati...
"Dereva ukifika kwenye tuta Endesha Taratibu, Tumechoka kurudisha Matiti kwenye Sidiria"
Alisikika dada mmoja wa Buza katika daladala.
Washkaji zangu Tuambizane, Matiti makubwa yana raha gani...
Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafunga ndoa kimyakimya...
Wanajamvi nin miaka 3 tu kwenye ndoa lkn nimemchoka mume wangu hatari. Akisogea karibu yangu nasikia harufu ya chatu na siyo ya binadamu.
Usiku huwa kuna muda nakosa usingizi kwa mawazo juu ya...
Hivi ikitokea mkeo ni gogo hafanyi kitu kitandani mpaka aambiwe,hajishughulishi kwa lolote lile.akiambiwa anaona ni kawaida.
Yani mwanamke labda anafikiria ya kwamba kule kupenziwa tu na mumewe...
Omba hii kitu isikukute. Kama mlikuwa na uhusiano na mwenza wako seriously basi utajihisi umefanya upumbavu wa hali ya juu. Kwa wale walioko kwenye ndoa ndio kabisaa utajihisi kufa kufa hasa kama...