Nenda kwa Tahadhari na Hawa wa 90's

Nenda kwa Tahadhari na Hawa wa 90's

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Huo ni wakati ambao maangamizi ya HIV yalishika kasi ya hatari.

Karibu kila familia ilipoteza ndugu, jamaa au rafiki hasa kule ukanda ule wa mbali. Kuna familia ziliangamia kabisa.

Wengi ya warembo wabichi tunaowaona sasa wamezaliwa kipindi hiki. Hapo wamechanganyika wapo wazima wapo wasio wazima. Kwa bahati mbaya huwezi kutambua kwa macho.

Tunahabarisha kwa tahadhari na wala sio kutishana wala kunyanyapaa. Usipime kwa macho. Kapime ujue afya yako na usiache kutumia kondomu.
 
2000's ndo habari ya mjini..kwanza usititishe ukimwi hauchagui rika..juz kuna mzee kaja ctc ana miaka 80 ana ngoma.
 
Huo ni wakati ambao maangamizi ya HIV yalishika kasi ya hatari.

Karibu kila familia ilipoteza ndugu, jamaa au rafiki hasa kule ukanda ule wa mbali. Kuna familia ziliangamia kabisa.

Wengi ya warembo wabichi tunaowaona sasa wamezaliwa kipindi hiki. Hapo wamechanganyika wapo wazima wapo wasio wazima. Kwa bahati mbaya huwezi kutambua kwa macho.

Tunahabarisha kwa tahadhari na wala sio kutishana wala kunyanyapaa. Usipime kwa macho. Kapime ujue afya yako na usiache kutumia kondomu.
Umena mkuu..
 
Back
Top Bottom