Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kuna maswali huwa yananitatiza kidogo kuhusu kumtongoza mwanamke!
1:unapoanza kumtongoza mwanamke wengine wana tabia ya kutokujibu sms kwa wakati,ama asijibu kabisa ama akawa ana ignore Simu zako n.k huwa mnamaanisha nini!?Kama hutaki si unasema sitaki!!!
2:kuna wengine eti ngoja nikufikirie!wakati huu huo anataka kukutoza kodi za TRA,huwa mnamaanisha nini!?
3:Wengine Mara bado mapema wakati still ni muda umepita analeta hadithi njoo uongo njoo tamkolea!huwa mnamaanisha nini!?
Mwanamke ukibali haraka ama uchelewe kukubali haibadilishi kitu kama wewe ni Kicheche
Wanawake njooni mtoe ushuhuda hapa!