Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Tuliwahi kugombana na mama zetu wakwe tukutane hapa kwa ushauri zaidi!
Kwa kifupi mama mkwe ni sawa na mama yako mzazi kabisa!ila kuna mama wakwe vichomi kweli kweli,unakuta unagombana na mkeo kidogo tu mama mkwe anakuja mkali kama vile mgambo wa jiji!,Mzee mzima unavumilia hadi siku unaamua umtolee uvivu!
Niligombana na mama mkwe na hatukuongea for two years nashukuru Mungu tumesameana tena