Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,493
- 9,901
Long time sijaonekana huku.
Anyway.
Sikuhiz nimekuwa na addiction ya kuangalia Status za watu whatsapp.
It's amaizing kwa sababu unaweza jua moods na vitu ving kuhusu watu kwa kupitia hivyo.
Kuna watu wa karibu nawajua na kiuhalisia watu weng wanawaona kabisa Kuwa sio Wema/wanafiki/hawana Upendo, Ila kwenye status Zao na wenyewe eti wanadai wao ni Wema na kuna watu wanawaona ni wanafiki/waongo/ nk.
Je Nani ana tatizo?.