mh rbt
Member
- May 17, 2014
- 85
- 61
Hello everybody,
Mimi ni kijana mwenye miaka 20+....
Nimekua member wa JF kwa muda sasa nikisoma nyuzi katika majukwaa mbali mbali, lakini nilivyo pitia hili jukwaa kwa muda wa week chache nimesukumwa sana kuandika kitu nikasaidika toka kwa wadau wa hapa kwani, kwa asilimia kubwa naona watu wanatoa ushauri wa kujenga sana wenye msaada kwa hawahitaji japokua watani hawakosi pia.
Bila kupoteza muda nijielekeze moja kwa moja kwenye nia iliyo nileta kwenu.
Tangu nianze safari yangu ya mahusiano mpaka sasa nimesha vunja mahusiano na wanawake wanne mpaka sasa. Mwanzoni mwa mahusiano huwa naishi na mwanamke kwa furaha na kumpenda sana na moyo wangu huwa unaamini kuwa huenda akawa wangu wa maisha lakini nikisha kaa nae kwa miezi kadhaa au mwaka najikuta napoteza hamasa juu yake.
Yaani naanza kumuona wa kawaida, huwa najichukia jinsi kiwango changu cha kumjali kinavyo shuka pia naanza kuwa busy sana na ratiba zangu binafsi.
Yaani huwa nakaa chini najitahidi kurudisha upendo wa nliokua nao awali lakini najikuta nafanya kwa siku chache tu halafu hali inakua ile ile.
Mfano naweza nisimtafute hewani hata siku tatu mfululizo na yeye asipo nitafuta ndio imetoka.
Naacha kuwanae karibu kabisa na nikiulizwa kwanini nimebadilika huwa naomba msamaha lakini maswali yakizidi nakasirika na tunakosa maelewano mwishoe tunavunja mahusiano.
Hivi karibuni nimeachwa na mdada nilie pendana nae sana na kudumu nae kwa muda wa miaka miwili na nusu sababu ikiwa ni hihi ya kutokujali na kumpuuzia kabisa.
Hali hii naiogopa najitahidi niwe consistent na ku_mantain kiwango cha juu cha mpenzi lakini nashindwa kabisa.
Sasa sjui chaguo langu bado au ni nini hasa yaani dah i can't explain. ..
Nadhani hakuna mwanamke anaweza kukubali kuvumilia mabadiliko yangu nogopa kuishi bachelor siku za usoni.
Hivi ni kipi shida hasa! kwa mtu anaeweza kunijuza shida yangu na utatuzi wake atakua amenisaidia sana.... maana hii kuachana achana inachosha na mtu unaloose confidence na maamuzi yako mwenyew. Pia inashusha reputation yako kabisa. Nawaza inakuaje wengine wanalast lakin mimi ni mtihani? Sometimes i hate myself
Natanguliza shukran zangu za dhati kwa mchango wako kwani naamini huenda ukanisaidia ku improve kwa namna moja ama nyingne.