BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
Kwani kuna ubaya gani kufanya kitu upendacho baada ya kitimiza kazi uliyopewa na boss wako kwa 100%.. Kuview adults material kazini ichukuliwe kama hobby tu ya mtu kama vile kucheza games.
Kwa nini unanitukana? Kwani umeshindwa kutumia lugha nyingine ili kuwasilisha hisia zako mpaka unitukane?Ww Ni mpumbavuuuu
Avatar yako ni kipimo tosha cha akili yako. Uwe na jumapili njema.Ww Ni mpumbavuuuu
Wote tukicheza filamu za ngono watizamaji watatoka wapi?Kwahyo umechoka kuangalia kwa kuibia washroom unataka wahalalishe ad ofisini mkuu?
Kama n hobby yako si ungefanya kazi ya kucheza ngono
hii ni katika kutekeleza ilani na kuongeza ufanisi wa kazi.Kwani kuna ubaya gani kufanya kitu upendacho baada ya kitimiza kazi uliyopewa na boss wako kwa 100%.. Kuview adults material kazini ichukuliwe kama hobby tu ya mtu kama vile kucheza games.
Toka lini akili ikalegea acha dharau.Hivi huu uzi umetoa ukiwa wapi?
Kamaa chooni sawa maana ukiwa chooni sometime akili inalegea hasa choo cha shimo.
Nani alishawahi kufa sababu ya nyeto?Nyeto itakuua kijanaa
Kwahiyo wote tuna hobby za kingono?Wote tukicheza filamu za ngono watizamaji watatoka wapi?
Mkuu elewa baada ya kutimiza majukumu kwa asilimia zote ndo unacheki hayo mavitu kama kurelaxhawa ndio wafanyakazi wetu,, Jiwe akiona hii haongezi mshahara tena,,,,,
nchi za wenzetu ukikutwa unatumia muda wa kazi kufanya mambo yako binafsi ,,,,, kazi ndio bye bye
endelea kuangalia tu,,ipo siku IT wa hapo watakuchoma ....
Hapana.Kwahiyo wote tuna hobby za kingono?
Uhusiano wa bangi na filamu za ngono ni upi?Watu kama ww mtoa mada ndo mna sababisha bangi isiruhusiwe
kutimiza majukumu for real!!!!Mkuu elewa baada ya kutimiza majukumu kwa asilimia zote ndo unacheki hayo mavitu kama kurelax