Mapenzi na mwanamke mpenda wanawake (biosexual)

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.

Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.

Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.

UPDATES (14th july 2012):
Ninawashukuru wote mliojitolea kunipa ushauri wa bila malipo na kwa kuonyesha you cares a lot pamoja na kuwa yule mpenzi wa mpenzi wangu ameamua kutojihusisha kimapenzi na mpenzi wangu. Sijajua tatizo kuu ni nini kwa vile kila mmoja ana maelezo tofauti.
Nitawataalifu kama nitapata maelezo kamili.Thanks.
 
mnh wenye wake wazungu mna kazi,mswahili sidhani atakuwa na courage ya kumuambia mumewe wafanye threesome,peleka u-turn kwa msaada zaidi....:eek2:
 
mnh wenye wake wazungu mna kazi,mswahili sidhani atakuwa na courage ya kumuambia mumewe wafanye threesome,peleka u-turn kwa msaada zaidi....:eek2:

Wanawake siyo wazungu ni ''Waswahili''
 
With this one I don't want you to think of anything, but conclude that I'm a fool!
 
My foolishness notwithstanding,I think you qualify for an idiot.
She tells you she‘s a lesbian,you stomach it,she goes ahead asking for a threesome and you freely consent. Then you come trumpeting it here,you think it‘s funy or we‘re gonna shower you praises?
If you don‘t approve it why do you stand it?You either condone it or dismiss it...but strange as u are,you don‘t..Makes me think a real african man is a rare specie these days!!
 
Mkuu mbona hiyo imekaa ki-muvi muvi sana?Naomba udadavue kiundani hiyo "threesome".
Kabla sijakupa ushauri naomba unieleze kati ya hao wanawake ni yupi anayekuwa ana-act kama dume?
From there naweza kukushauri cha kufanya.
Ila imenishangaza sana.
 
bravo mate!! demu wako wa ukweli. sasa wewe tuliza bwana wewe enjoy the moment not everyone gets this lucky son. wewe endelea na kamchezo kenu tuu and dnt forget she bisexual so usitegemee kuwa eti ukiwa nae huyo basi ndio atakuwa anapendenda dushelele yako tuu...she will still fancy other ladies. cha msingi hapa ni enjoy the ride and have fun!!!
 
My foolishness notwithstanding,I think you qualify for an idiot.
She tells you she‘s a lesbian,you stomach it,she goes ahead asking for a threesome and you freely consent. Then you come trumpeting it here,you think it‘s funy or we‘re gonna shower you praises?
If you don‘t approve it why do you stand it?You either condone it or dismiss it...but strange as u are,you don‘t..Makes me think a real african man is a rare specie these days!!

Mtundu Kisu, I'm not in this thread to make funny or look for praises.
I have brought this thread to get advice from real people who think bigger than me. in your advice, I can be an idiot but I believe big thinking people don't see in that way.
what happen I can't change it but I can get positive advice for my future in this situation, I call it a mess in my life.
 
Mkuu mbona hiyo imekaa ki-muvi muvi sana?Naomba udadavue kiundani hiyo "threesome".
Kabla sijakupa ushauri naomba unieleze kati ya hao wanawake ni yupi anayekuwa ana-act kama dume?
From there naweza kukushauri cha kufanya.
Ila imenishangaza sana.

This is new experiance for me. I can say, My girlfriend always loud and talks a lot. She always comes with different idea.
 
Hivi wakati girlfriend wako anakwambia mfanye threesome na ukamkubalia ulikua katika hali ya kawaida au ulikua umelewa??kama ulikua umelewa then acha pombe mara moja! Kama ulikua mzima bila alcohol then jua ulikosea sana na unachotakiwa kufanya sasa ni kustart afresh! Kati ya hao wanawake hakuna hata mmoja anayekufaa hata huyo mwingine umemtamani tu baada ya kumuona uchi..waache wote anza upya!!
 
Sijajua kama tatizo lako ni ulesbo wa "demu" wako au mapenzi unayojisikia kwa "demu" wa "demu" wako!
 
Back
Top Bottom