Wakaka acheni umario, mjishughulishe.

Wakaka acheni umario, mjishughulishe.

loldiva

Senior Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
165
Reaction score
161
Ni sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu wakitak wapate kwa wanawake.. asa kweny kutafuta wenza kama huku akion umesem una ajira huyoo fastaaa akat anajijua yeye hata hajishughulishi maan kutokua na ajira sio kigezo cha kutojishughulisha wanaume.. kiuongo ili umkubal atajifanya ana mikakati mingi ya maisha afu unashangaa akija kwako tu kuonana anakaa mwez unaanza kupata maswali hiyo miradi huko anaangalia nan ha ha haa kumbe ndo alivyojiwekea awe anaishi na mwanamke amlishe kila kitu yeye akae tuu.
 
Mario Wamekusikia nadhani watakuja muda si mrefu ila je na sisi vibamia tunacomment wapi?
 
WEEK END NJEMA , MTOA MADA .... LEO JUMA2 INAFAA SANA KUPATA KA JAMAA KA KUKUGUSA , KUNAKO , NICHEKI INBOX NOW NA DRIVE premio kangu kuelekea SOUTH BEACH , so kama hukinijali ni cheki nikufuate ulipo maana USAFIRI NI UHAKIKA .
 
Ni sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu wakitak wapate kwa wanawake.. asa kweny kutafuta wenza kama huku akion umesem una ajira huyoo fastaaa akat anajijua yeye hata hajishughulishi maan kutokua na ajira sio kigezo cha kutojishughulisha wanaume.. kiuongo ili umkubal atajifanya ana mikakati mingi ya maisha afu unashangaa akija kwako tu kuonana anakaa mwez unaanza kupata maswali hiyo miradi huko anaangalia nan ha ha haa kumbe ndo alivyojiwekea awe anaishi na mwanamke amlishe kila kitu yeye akae tuu.
Kama yupo wa namna hiyo, jua huyo ni shoga;wanaume hatuko hivyo
 
Sawa mama tumekusikia sisi wahusika maana kila baya limekuwa letu wakati nyinyi ndio mlilianzisha 50/50
 
Nimeshindwa kushangaa, wanapewa 50 yao wanaanza kulia lia, ama kweli kama hujui unakokwenda, huwezi potea.
 
50/50 mnaikana sio;wanaharakati wa Beijing wako wapi. Hao mario wanasimamia kucha show,hawana stress. Wakishiba wali maharage,ni ushuzii tu.
 
Ni sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu wakitak wapate kwa wanawake.. asa kweny kutafuta wenza kama huku akion umesem una ajira huyoo fastaaa akat anajijua yeye hata hajishughulishi maan kutokua na ajira sio kigezo cha kutojishughulisha wanaume.. kiuongo ili umkubal atajifanya ana mikakati mingi ya maisha afu unashangaa akija kwako tu kuonana anakaa mwez unaanza kupata maswali hiyo miradi huko anaangalia nan ha ha haa kumbe ndo alivyojiwekea awe anaishi na mwanamke amlishe kila kitu yeye akae tuu.
Ukiona manyoya umeliwa
 
Back
Top Bottom