utamshaurije / utambadilishaje au utamwacha?

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2018
Posts
497
Reaction score
951
hellow wana MMU! salam! asanteni kwa michango yenu ambayo kiukweli kuna zinazofunza kufurahisha na kutoa changamoto!
.
.
kuna hili swala kidogo linanitatiza "mfundishe / mrekebishe" mpenzi wako pale anapokuwa na tabia / kitu flani.
.
.
kidogo nikaanza kuwaza unaweza kuta mpenz wako hakuridhishi (labda ke bwawa au me kibamia) lakini sifa zote anazo za kuwa mmeo / mkeo na unampenda! me yaweza kuwa ndo alivyo, ke labda nae ni maumbile yake!
.
.
utamwoa / utaolewa nae? utambadilishaje!
.
.
pengine unamcheat kwa sasa, na unapocheat (japo si vyema) kimapenzi unaridhika, ila hupendi huyo unaecheat nae awe mkeo au mmeo, na hupendi kufanya hivi!
.
.
wajuzi wa mambo hii unafanyaje, utambadilishaje, utamshaurije au utamwacha?
.
 
Kibamia unamshaurije? Aende kuongeza ukubwa au nn? Na huyo mwenye bwawa una mshauri mchote maji au mpake ndimu ikauke au mtie chumvi?
 
Actually katika kuridhishana siyo tu swala la maumbile. Linameba maswala mengi zaidi kama saikolojia, ujuzi n.k. Mnaweza kuwa na maumbile ya kawaida lakini usiweze ku mridhisha mwenzako.

Ili mfurahie mapenzi na kuridhishana ni lazima mtambuane. You need to know your patner. Jaribuni vitu tofauti until you get to know what makes you feel good.

Focus kubwa ya wenza wengi ni kuingiza tu. Lakini kuna njia nyingi za kumfanya mwanamke afike kilele, bila hata kuingiza kitu huko.

Kwa ufupi, kujibu swali lako ni kwamba...inatakiwa kujitambua na kuelewana. Mfanye kile kitakacho wafurahisha kwa maumbile au kasoro zenu mlizonazo.
 
asante nimepata kitu mkuu
 
Naunga mkono hoja
 
Nimependa boga Sina budi kupenda na ua lake

Kama tabia nitajitahidi aweze kubadilika na zinazoshindikana nitazibeba Kama zangu (but sio usaliti)

Nitaolewa nae
 
hellow wana MMU! salam! asanteni kwa michango yenu ambayo kiukweli kuna zinazofunza kufurahisha na kutoa changamoto!
.
.
kuna hili swala kidogo linanitatiza "mfundishe / mrekebishe" mpenzi wako pale anapokuwa na tabia / kitu flani.
.
.
kidogo nikaanza kuwaza unaweza kuta mpenz wako hakuridhishi (labda ke bwawa au me kibamia) lakini sifa zote anazo za kuwa mmeo / mkeo na unampenda! me yaweza kuwa ndo alivyo, ke labda nae ni maumbile yake!
.
.
utamwoa / utaolewa nae? utambadilishaje!
.
.
pengine unamcheat kwa sasa, na unapocheat (japo si vyema) kimapenzi unaridhika, ila hupendi huyo unaecheat nae awe mkeo au mmeo, na hupendi kufanya hivi!
.
.
wajuzi wa mambo hii unafanyaje, utambadilishaje, utamshaurije au utamwacha?
.
Kwa hali ya sasa; zingatia ile kauli ya
"Shake before use" ili msilaumiane mbeleni.

Hapo hakuna ushauri, labda kikubaliana na hali ya mwenzako; bhaaasi.
 
Back
Top Bottom