Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,449
Mapenzi bila pesa ni kazi bure...tujaribu kutunza zile chenji chenji zinazobaki ili mwisho wa wiki tuwe tunatoka mara moja moja.Tutumie njia hii kutunza chenji zetu.....
Nipe magari na majumba ya kifahariNifanye nini ili unielewe
Nifanye nini ili niwe na wewe
Ili twende tukajivinjari ?Nipe magari na majumba ya kifahari
Basi nieleze kabisa kama ntapata au nitakosaa ioh ooh eeeyIli twende tukajivinjari ?
Ila baby si unajua mwenzio sina pesa
Ndio sababu unanitesaaa
Hiyo hiyo mkuuBasi nieleze kabisa kama ntapata au nitakosaa ioh ooh eeey
Kwa kukadiria jumla ya hizo koini zinaweza fika jumla shilingi ngapi,iwapo kila koini ni sh. 500Nimekipenda hicho kibubu!
nakubaliana nawe....Sawa nini
Chakubanga ?
Mapenzi bila pesa ni kazi bure...tujaribu kutunza zile chenji chenji zinazobaki ili mwisho wa wiki tuwe tunatoka mara moja moja.Tutumie njia hii kutunza chenji zetu.....
View attachment 1156832