James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,765
Classical Women wako poa sana, Ila wengi ni wafia dini na hakawii kukubania papuchi ila akaenda kumpa Baba Mchungaji wake. Pia wanapenda sana kushinda Church. Pesa zao nyingi huwa zinaishia kanisani. Ila ukimpata ambaye siyo mfia dini aisee oa haraka sana sababu huyo lazima atakuwa anajielewa. Pia atakuwa hana matumizi ya hovyo ya hela.
Modern Women wengi wao wana majanga kishenzi, Kama hujajipanga vizuri anaweza akakufilisi unajiona. Atataka hela ya (saloon, kucha za bandia, kope za bandia, Atataka aoshwe miguu kila siku, Atataka umpe hela za kununulia nguo na viati kila week, atataka hela ya make up ajipige make up kilo 8 kila siku) halafu bado pamoja na kumpa yote hayo anaenda kugawa papuchi kwingine. Kila kitu kinachoinvolve maisha yake atataka akiweke mitandaoni. Na mengine mengi.
Sasa balaa ni pale utakapopata modern woman halafu ni mfia dini. Halafu financially anakutegemea wewe. Aiseee unaweza ukafa unajiona.
Uzi tayari