Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Mapenzi ya siku hizi ya kuviziana

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,961
Reaction score
80,240
Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.

Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.

Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.

Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.

Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.

1. Je, huwa mnapenda?

2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?

3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.

4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?

5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?

6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?

7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?

Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...

Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
 
ukijijengea kale ka hali ka nitaonekana na shobo sana ndio madhara yake ni haya yaani wewe ndio kila siku unakuwa mtumaji wa text mwanzishaji wa story ukika kimya muda mrefu unauulizwa mbona upo kimya.. kuhusu suala la kuactivate mazungumzo kwa kumtumia kile tunachoita booster(catalyst) ni hali ya ubinadamu tu huruma kuwa huyu amenipa hivi kumbe naweza akawa ananijari au yupo serious ila kuna wengine unaweza ukawatumia na wasikujibu ikawa vile vile haya mambo nayashuhudia sana kwa vijana wengi nakuwa mtazamaji mzuri sana hii inwajengea hasira siku ya mechi vijana wanacheza kama fainali... ni mwendo w mashuti kama bundersliga... wadada kuweni makini sana ahhah
 
ukijijengea kale ka hali ka ntaonekana na shobo sana ndio madhara yake ni haya yaani wewe ndio kila siku unakuwa mtumaji wa text mwanzishaji wa story ukika kimya muda mrefu unauulizwa mbona upo kimya.. kuhusu suala la kuctivate mazungumzo ni hali ya ubinadamu tu huruma kuwa huyu amenipa hivi kumbe naweza akawa nanijari au yupo serious ila kuna wengine unaweza ukawatumia na wasikujibu ikawa vile vile haya mambo nayashuhudia sana kwa vijana wengi nakuwa mtazamaji mzuri sana

Sawa sawa unauzoefu bila shaka.....maelezo yanahitajika.

Mwenyewe nina uzoefu ndiyo maana hadi leo imebidi nililete.

Sio mara tatu wala nne ninalishuhudia....unaomba mawasiliano...

Kwa hiyo ukiwa mwanzisha stori kuna ubaya ila siku ukitoa ulichoombwa ndiyo uzuri wa kuanzisha mawasiliano unaonekana?

Kwa hiyo gear ya kuanzisha mawasiliano inaanza pale unapopewa msaada? Kimaandishi nataka kuelewa ila kiakili naona halikai vizuri kabisa.
 
Unakutana na mdada....unajenga mazoea anakupa mawasiliano. Unajaribu kuwasiliana naye unaona kama hakupi muda kivile. Unajisemea aah labda hanipendi.

Kama mnavyojua moyo unamilango mingi...mmoja unakuambia labda umpe muda anakuzoea atakuwa poa baadae. Kabla hajakuzoea unaombwa kitu.

Kwa wenye akili kidogo unajishauri ndani ya dakika unamwambia sawa umekipata chukua. Ukishampa anaanza kukuchangamkia hadi unashindwa kuelewa imekuaje.

Sasa mimi maswali yangu kwa wadada ni haya.

Kabla sijawauliza naamini wa humu wapo wanaofanya wengine hawalifanyi hili. Na silalamiki nataka mtupe uzoefu.

1. Je, huwa mnapenda?

2. Kama jibu ni ndiyo huwa mnapenda. Kwanini switch ya upendo wenu inawashwa mkipewa mlichoomba?

3. Ok, tuseme mwanaume aliyeomba mawasiliano haujampenda na umetumia mbinu ya kumwomba kitu ili akukimbie. Sasa kwanini ukipewa unajipendekeza kwake saana hadi mwanaume anaanza kujistukia? Kama hukumpenda naamini huwezi badili moyo kwa kakitu kadogo.

4. Je, hii ni tabia ambayo ipo ndani ya mwanamke au ni ya kujifunza?

5. Je, mpo ambao mlikuwa hamifanyi na sasa mnaifanya? Kipi kilikufanya ukaanza kuifanya?

6. Je, mnapofanya hili mnakuwa na maana gani?

7. Mpo ambao hamfanyi hiki kitu? Nyie huwa mnafanyaje?

Nisiwe muongo nikikutana na hii hali kwanza huwa hivi...kwanza nakutumia meseji....akili inaniambia huyu labda hajanipenda nini? Najisemea acha nione ndani ya masaa mawili. Before unaombwa kitu...unatoa. baada ya kutoa unachangamkiwa...

Najiuliza mambo mengii hadi naanza kuwaza ujinga mwingine maana jibu nabaki sina.
Hivi unajuaga hata malaya anayejiuza huwa anapenda ? Yawezekana alikupa namba ili akupige mzinga, lakini baadae anakuja kuona wewe ni zaidi ya mzinga aliotaka kukupiga. Na hapo ndipo anapoanza kukuchangamkia.
 
Kwa maana hiyo unasema anayefanya hivi ni malaya?
 
Ndio kwanza nimeingia kwenye ujana wacha nichukue uzoefu kwa mabraza.
 
Shida kubwa ya mapenzi ya siku hizi wadada wengi wanapenda sana KITONGA....

Unakuta mdada yeye kiwango kikubwa boyfriend wake awe ana play part kubwa sana kwenye maisha yake unaweza sema ndio kama baba yake.....

Kiufupi wanapenda vitu ambavyo vipo nje wa uwezo wao
 
Kwa maana hiyo unasema anayefanya hivi ni malaya?
Hapana sijasema hivyo, bali nimetoa mfano wa kukuonesha jinsi mapenzi yalivyo na nguvu. Panapo mapenzi njama ovu dhidi ya mtu huwekwa pembeni.
 
Back
Top Bottom