Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,922
- 61,678
Kila mmoja anatamani kwenda mbinguni,lakini hakuna anayependa kufa.Wakuu kuna njia gani nyingine ya kwenda mbinguni bila kufa?
ha ha ha,kwa usafiri gani?Pitia ya baharini utafika kuzimu haraka😱
Hutaki kwenda mbinguni?Mtukame jamaa wa chato... utapaa kama elia
Nenda pale kivukoni ferry,mtukane yule anayeishi magogoni halafu kimbilia baharini utafika bila tatizoha ha ha,kwa usafiri gani?
Azam marine expressha ha ha,kwa usafiri gani?
ha ha ha haAzam marine express
Nasikia mbinguni hakuna kuoa wala kuolewaNenda pale kivukoni ferry,mtukane yule anayeishi magogoni halafu kimbilia baharini utafika bila tatizo
Wale aliondoka al shabab,boko haram hilo jambo wanalijua vizuri nitakuunganisha either uende Somalia au Nigeria ukapate taarifa zaidiNasikia mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Halafu ukifika deep sea unajitosa Baharini. Utafika mapema sana ila angalia mabaharia wakikufuata uwapige chenga.Azam marine express
kwa mawazo alafu unarudi.Kila mmoja anatamani kwenda mbinguni,lakini hakuna anayependa kufa.Wakuu kuna njia gani nyingine ya kwenda mbinguni bila kufa?
kumbe umesikia basi waambie hao hao waliokwambia wakuonyeshe njiaNasikia mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Kwa hiyo kumbe binadamu huwa tunadanganyana tukwa mawazo alafu unarudi.
Swimming skills na diving skills ni muhimu wakati huo.Halafu ukifika deep sea unajitosa Baharini. Utafika mapema sana ila angalia mabaharia wakikufuata uwapige chenga.
Ushafika ?ha ha ha ha
Tena afunge na jiwe kiunoni kama OsamaPitia ya baharini utafika kuzimu haraka😱
sasa unaulizia uchungu chumba cha uzazi ?Kwa hiyo kumbe binadamu huwa tunadanganyana tu