Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa...
Habari za mihangaiko wana jf. Mimi mgeni humu,nisiwachoshe sana. Mimi ni kijana umri miaka 23 nimetokea kumpenda binti hapa mtaani kwetu, nimemweleza hisia zangu kuwa nampenda lakini hakunijibu...
Nikiwa peke yangu kitandani na kiubaridi kimenifanya nikumbuke maisha ya kimapenzi niliyokuwa nayo miaka ya nyuma. Kuna maeneo ambayo mpaka leo ninajiuliza nilikuwa nawaza nini mpaka kugegeda...
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano;
Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu"
Nina miaka 31 na...
Wakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom...
Utakuta unamtoa mwanamke mbali kimaisha huko kijijini. Alipokuwa akiumwa ulimpa matibabu na wazazi wake pia uliwasaidia sana huko kijijini kwa kuwa ulikuwa na biashara zako hivyo suala la pesa...
Mimi ndimi.
Laahaaulaaaa! Siamini kinachotokea, katika mishemishe zangu za kupiga pesa aseee nimekutana na mwanamama mmoja wa kizungu inaonekana kama ana 45 yrs hivi mazeee.!
Duh! Wazungu...
Ukweli ni kwamba wanaume wengi sana wanalea watoto ambao sio wao, mabinti /wanawake wakibebeshwa mimba huko hutafuta wanaume wenye unafuu wa maisha na kuwabebesha mimba ambazo sio zao.
Niende...
Ikiwa Leo inasemekana ni siku ya urafiki duniani hebu tuambie umekutana na changamoto zipi juu ya marafiki wanaokuzunguka
Mm naanza hivi....
Kuna jamaa yangu mmoja ( wakiume) nilikutana naye...
Habari za mda huu wadau wa MMU...
Baada ya pilika za miaka mitatu minne hatimae leo nimekutana na yule ambaye nilikuwa na promise kuwa one day tutakuja kuoana....
Niseme tuu namjua na ananijua...
''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
Habari wadau!
Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000.
Wacha nifaidi, kumbe wanafanya...
Wanawake wenzangu, kila siku napenda kuwaweka wazi mambo muhimu sana katika mahusiano na ndoa zetu.
Leo nataka nikukumbushe tena jambo hili. Kama unaona ndoa au mapenzi yako yanayumba yumba...
Iwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni.
Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi...
Habari wanajamvi?
Sisi tuliopo katika ndoa tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili ambazo baadhi husababisha ndoa kuvunjika. Naona itakaa poa kama sisi tulio katika ndoa tukajadiliana, kupeana...
Habari wakuu,
Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups...