Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,790
Habari wanajamvi?
Sisi tuliopo katika ndoa tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili ambazo baadhi husababisha ndoa kuvunjika. Naona itakaa poa kama sisi tulio katika ndoa tukajadiliana, kupeana ushauri na kushea pamoja raha na shida zetu. Inawezekana baadhi yetu wanapata raha wengine wanazikosa hivyo kupitia hapa tuweze kushauriana ni namna gani ya ndoa zetu ziwe na furaha na amani. Karibuni kwa majadiliano na ushauri