MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
Habari za mda huu wadau wa MMU...
Baada ya pilika za miaka mitatu minne hatimae leo nimekutana na yule ambaye nilikuwa na promise kuwa one day tutakuja kuoana....
Niseme tuu namjua na ananijua mana tumesoma shule moja primary na ordinary level ila nilimzidi madarasa mimi form four yeye form one ....
Nilidumu naye kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja tuu sababu niliyoyakuta tofauti na niliyotarajia mana tabia zake na mwenendo, wake iliniwia ugumu sana kuamini kuwa anaweza kucheat.... niligundua hilo tena Kwa ushaidi kabisa na yeye nilimuuliza hakujibu kitu alikaa kimyaa tuu...
Kilichofanya kumfuatilia kwa usiri ni suala lake la kunibania papuchi kwa mwezi mara moja hadi baadhi ya miezi miwili tena ndio napata....
Sasa tangu nigundue kuwa anacheat aisee... nilikua kimyaa na mishe zangu tuuu mana yeye aliogopa hata kuniomba msamaha mana ananijua nikikasirika huwa nipoje....
Nilichokifanya kutafuta line mpya kimya kimyaa na kuanza mahusiano na mtu mwingine na kuendelea na maisha yangu.....
Huyu dada alinitafuta sana kuomba msamaha ila nilikula kimyaa na maisha yangu mana sikupenda stress kufanya THREE SUITORS ONE HUSBAND sikupenda kabisa na iliniuma sana yaani mtu pesa na mahitaji nilikuwa najitoa halafu ananifanyia ujinga niliumia tuuu...
Miaka ikapita leo nimekutana naye kwenye restaurant fulani hivi ndio akaanza kunikumbusha jinsi tukio lilivyomuumiza kisaikolojia...
Ndio mana nimekuja humu kwa wana zengo kuwa nilimliza au alijiliza
Karibuni kwa share idea