Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,934
- 61,719
''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
ha ha ha wanasema elimu haina mwisho mkuu,ndio maana tunasoma historia ya kuwa sisi tulikuwa sokwe wakati uthibitisho hatuna.Mkuu wewe si Umeshaoa tayari, hizi mambo zipotezee Tu.
Ngoja wajuzi waje...Hata me sijaelewa
ha ha ha haA woman must have a suitcase!!
Aafu baada ya mwezi anaanza kudai haki sawa na wewe uende jikoni
Msambwanda wa buku jero''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
ha ha ha wakoje hao mkuuMsambwanda wa buku jero
Harmonize anawajua vizur aisee, hua ni watam hao balaa, usipokua makini hata hiyo mijumba na magar vyote waweza muachiaha ha ha wakoje hao mkuu
ha ha ha haOnly pu.s.sy na asisahau brain. Ila siku hizi wengi wanakuja na cha kwanza tu
ha ha ha sawa mkuuHarmonize anawajua vizur aisee, hua ni watam hao balaa, usipokua makini hata hiyo mijumba na magar vyote waweza muachia