Nasikia leo ni friend day jamani!

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Ikiwa Leo inasemekana ni siku ya urafiki duniani hebu tuambie umekutana na changamoto zipi juu ya marafiki wanaokuzunguka
Mm naanza hivi....
Kuna jamaa yangu mmoja ( wakiume) nilikutana naye kidato cha tano na hapo tukaanza urafiki maana tulikuwa tunaishi bweni moja....

Siku zilikwenda sasa kuna siku moja rafiki yake wa kike ambaye alisoma naye primary alimtafuta kwenye simu na advance shule za bweni kama unavyojua simu ni marufuku Ila wabishi tulikuwa nazo, sasa kupokea yule manzi akajua ni yule mshikaji kwakuwa alihisi tunafanana sauti basi tukawa tunabishana mpaka jamaa akatokea nikampatia ndo hapo akakubali...

Basi mwanaume nilivyokuwa na tamaa na sauti ya yule demu nikawa nimemuelewa na kwakuwa namba yake nilishaikariri nikawa nachati naye na mshikaji hakuwa hana neno maana huyo demu alikuwa anamchukulia ni rafiki wa kawaida...basi siku ya kwanza, ya pili ikipita ya tatu nikaanza Kumtongoza akanasa kwenye kamba basi ikawa tunatumiana photos na demu alikuwa yupo vizur tu...
Basi siku zikayoyoma mpaka tukamaliza advance nipo naye tu, tunaingia chuo nipo naye sasa kwakuwa mm nilikuwa nasomea mbali na yeye basi mchizi si akaanza kumtongoza kijanja janja.....

Daaah!! Hiyo tabia ilinikera Ila sikutaka kumwambia mchizi maana demu alikuwa ananiambia kila kitu kuna kipindi tulivurugana na huyo demu sasa nikawa na mchepuko mwingine na mshikaji alikuwa anamjua huyo mchepuko maana alikuwa rafiki yake na demu wa huyo mchizi so ilikuwa siri yangu na yeye but baadaye kuja kurudiana na huyo demu wangu akaja kuniuliza yule Fulani umeshaachana naye daaaah!! Nilishangaa kweli hizo info kapata wapi but nilikuja kujua kuwa ni jamaa ndo kamwambia na yote hiyo alikuwa anatamani tu yule demu niachane naye....

BUT HUYO DEMU NILIKUJA KUTEMANA NAYE AT THE END REASON ILIKUWA NYINGINE ILA SIYO YA HUYO JAMAA.....

SEMA TU MARAFIKI WENGINE MAKUDA TU.....
 
Nimefikiria weeeee changamoto iliyopo kwa marafiki zangu

Wa kike....kushindwa kumind their business
Wa kiume....kutaka kubadili urafiki kuwa uhusiano wa kimapenzi,matokeo yake tunaishia kukata kabisa mawasiliano
 
Back
Top Bottom