Nataka kuoa mwanamke msomi

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Iwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni.

Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi kweli kweli kama maandiko yanavyosema.

Sichukii wala sidharau wanawake ambao hawajasoma na wasiotoka familia zinazojiweza ila natafuta wa kufanana nae.

USHAURI KWA AMBAO BADO HAMJAOA
* Kama umesoma oa aliyesoma ili kuepusha malumbano. Ukioa msomi halafu wewe hujasoma utaugua ugonjwa wa "complex inferiority" dalili zake ni kujihisi amekudharau kumbe ni ugonjwa wako mwenyewe. Na ukioa mtoto wa kishua wakati mwenu hali sio nzuri asilimia kubwa utajihisi kunyanyaswa na utapoteza haki yako ya mzaliwa wa kwanza kama Hesau kisa kunde.

Asanteni.
 
Hahahahaha sawa sawa Mkuu kwahiyo, tusiangalie upendo wa kweli na dhati yote badala yake tutafute wasomi na ambao hatujasoma tunafanyaje sasa

Ubaguzi hauwezi kuisha, Tusibaguane Mkuu
Umenikumbusha niliombaga urafiki nikaambiwa nitume vyeti vyangu, nikakimbia jiii
 
Hahaha...sio ubaguzi mkuu nataka wa kufanana nae...huo upendo ntauonaje mkuu?
 
Uzi wako sioni kipya ila ninachokiona umekuja kujitambulisha kuwa wewe umesoma naumetoka Familia yenye uwezo. Poleeee
 
Umeongea ukweli mkuu, mimi kaa niko na degree 2 au 3 siwezi kamwe oa mtu ambae hana degree, coz level yake ya kureason kaa tuseme ni wa form 4 au la 7 ni mdogo sana, itabidi kaa unataka ishi nae umurudise shuleni akapate degree, najua wengi watanipinga kwa hili lakini sio neno, huwezi kaa maisha balanced kaa tofauti ya elimu ni kubwa, na ukiona wanaume wengi ambao ni wasomi ambao wameona wake wa elimu duni huwa wengi wanataka tu kuDOMINATE wale wake zao, maana mama watoto atajiona hana elimu so anything mume anasema she cant opose, and aslo nafikiri mke ni mtu wa hata kukusaidia na maarifa, so kaa umesoma na yeye hajasoma tatizo ni kubwa.
 
Jee mwanaume asie msomi akaoa msomi kuna shida Gani?
 
Umenena kweli mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom