Habari wakuu,
Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups za whatsapp zaid 20, yes zaid ya 20 yani namshangaa ad nachoka kushangaa. Ukimuelekeza kitu yy haoni tabu kukujb sitaki au fanya mwenyewe yan ana kejeli kama zote tu.
Huyu wa kike sasa, kamaliza chuo juzi karud na mimbaa, ss jmn mwenye mimba hawezi hata kuosha vyomba? Vikaz vdg dg kufanya haruhusiwi?. Nikimuelekeza nae utasikia (hujui uzito nnaousikia, omba Mungu akujalie asipokujalia basi hautoexperience mimba) arghh! nmewachoka . Mm sishindi na wao, naenda mishe mishe narud usiku na nikirud nalala tu sitak kelele na mtu, lkn ukirudi unakuta hamna jipyaa, nyumba chafu na tangu arudi huyu wa kiume ndo imezidii kwasabb yy ndo anashndaa home muda mwingi, huyu wa kiume yupo miguu juu kashika simu (na nmempa mimi hapa nawaza kuchukua simu yangu tu) huyu wa kike nae yupo busy na Sultan, ataamka Mama we flani tupikie ugali......... M nikiamka asbh hufagia na kuosha vyombo vya usiku (nafanya kupunguza kaz kdg maana huyu mjamzito eti hajiwez so kumuachia kazi bimkubwa alone naona sio vzr). Ss haya mambo Mpaka lini? Kama leo chakula cha night ugali na mlenda ndo unapikwa ss hivi, tena Mama umekuja kuniamsha nipike, sio kwamba nimegoma nmejiulza tangu saa12 ad sasa hv kimefanyika nini kikubwaaa kias mkose kula mapema mle sasa hv au ndo housegal nilkua nasubiriwa.............???Najua Mama una mahaba na hawa wanao lkn mimi ni dada yao, silazimishi waniheshimu but Respect ni Muhimu!