Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
 
Umenipata! ukitaka tutaenda hadi madagasca via ushelisheli
 
Maisha magumu bna ila we live once atii
Mimi bwana sina dhambi nyingi kiivo,sinywi pombe Wala sigegedwi kwaiyo nataka nienjoy maisha kwa kusafiri.
Sasa nataka nianze safari zangu hapa hapa nchini.
Natafuta rafiki wa kusafiri nae cause I want to try new things as well,new ideas,new friends I hope mmenielewa wakuu.
Sasa kama unaona una sifa tuwasiliane.hela ninazo ila uwe na hela. Na usiwe na ndoa sitaki stress mie japo sio kwamba nakuitaji kimapenzi.
Ila jinsia ya kike nayo pia inakaribishwa
Miss Natafuta I might be the right candidate
 
Sawa kabla hatuja apply naomba nijue hobby za ako ili nione naweza kufit kwako sitaki unibowe wala mimi nikubowe.....Pia nataka kujua expenditure habit yako high low au medium usije ukawa mtu wakula forodhani usiku wakati mimi sili street food nk
 
Mimi na miaka yangu 22 ngoja basi nisogee pm tukale bata zanzibar
Kwa nini uweke avatar inayokuzidi umri? Kumbe jf wadogo zetu wengi.sikujua uko mdogo hivi😁

Afu huwa najiuliza kwa nini watu wa Jf wanaweka avatar ambayo sio zao au ambazo hawafananii? 😁😁😁😁nawaza tu.
 
Back
Top Bottom