Hata kukucertify uchumba bado ushakua kero daah

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,063
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel

2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez

3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo

4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli

Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)

Uzi tayar.
 
Kipi unaogopa kuwa karibu naye au humpendii? matendo usiyoyapenda kwake embu mueleze acha kujiumiza nafsi
 
.....Nimecheka daah,harafu anakuita mume wangu,wakati wewe upo katika mkakati wa kulipua bom...
 
Huyu bint kiukwel asipoangalia,..itakula kwake
1.anataka kiila weekend aje kwangu ijumaa aondoke j3 hata sipumui kiukwel

2.nkimwacha nyumban nakuta kapekua kiila kona af alivyo 0 brain hata kurudisha vzur hawez

3.tumekubaliana mambo ya sim kila mtu na yake ila yeye nikiacha sim dk mbil nakuta kaishika yani..anazuga et anapiga selfie yake camera uwezo mdogo

4.na mambo mengne meeng yanakera
Well,kilichofanya niandike uzi ni hiv nmemdanganya nmesafir kikaz mwez mzima,cha ajabu et anasema anataka aje hukohuko et tukae wote ,yuko serious had ugomv yan,najua anataka kuthibitisha tuu ni kweeli

Hiv mwanamke wa hiv kwel si balaa hil,(bom,linasubir kulipuka hili)

Uzi tayar.
Kama haumpendi uyo mwanamke mwambie tu.
 
Back
Top Bottom