Baada ya kumlipa wife amenifanyia massage nzuri hadi nimechanganyikiwa

Habari wadau!
Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000.

Wacha nifaidi, kumbe wanafanya makusudi wanaweza
Nadhani ndoa yako iko ICU au ime-RIP. Siku nyingine mpe laki tano akupe kikubwa zaidi
 
Habari wadau!
Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000.

Wacha nifaidi, kumbe wanafanya makusudi wanaweza
ukute jitu kama hili lililoteta uzi lina 30+...
 
Habari wadau!
Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000.

Wacha nifaidi, kumbe wanafanya makusudi wanaweza
kweli wewe ni Nguva Jike, unaishi na muuzaji kabisa lakini unamwita wife, hao wamejaa huko badoo
 
Mnajua mleta thread ni shoga? Juzi kaja hapa na uzi wa kike naona leo kajisahau kajileta mazima....

Juzi alisema yeye ni mwanamke na anamwendesha boss wa mwanamke, sasa nashindwa kuelewa huyu ni mjinga mpumbafu wa nmna gani
Ndiye huyu kumbe! Basi ni msagaji.
 
Wewe unaishi na bazazi. Sio la kujisifu ilo. Mwenzio akimpa laki unafikiri itakuwaje?
 
Me nimekusoma sanaaa maana wanawake wachache sanaa wanawafanyia massage waume zao
Kwahyo umeona kuliko kupeleka hiyo hela kwenye massage za kulipia bora umpe wife aonyeshe ujuzi wake

Hakuna mwanamke asie penda pesa jamani wanajitiaga moyo tyu kukaa na mume asiye na pesa
 
Back
Top Bottom