data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,612
- 23,440
Wakuu poleni na hongereni kwa kazi.
Ni hivi. Wiki mbili zimepita kuna demu nilimuomba game. Akasita sita kama siku tatu hivi. Nikampotezea. Jana kaniomba laki.
Hapa kazini, kuna single mom. Yuko vizuri sana. Nimekua nikimuomba game kwa muda mrefu.. Jana akaniuliza... Niko serious kweli, nikamwambia ndio. Tukapanga tukapige game kesho J tano. Leo asubuhi ananiambia Mbona M pesa haijacheka. Yani nitume hela kwanza. Nimechoka.
Mtaani kuna mtoto mmoja mkali sana, nikaonyesha interest kwake, baada ya kuona anaelekea nikamuomba namba ya cm.. Akaniambia hana simu. Maana yake nijiongeze. Nikachoka.
Sasa swali kwenu akina dada, huduma hiyo sasa imekua biashara?? Kama ndio, basi si muaze kutoa na risiti, VAT.