MAMA NA MWANA
Gozbert ; Mama wamenifukuza shule
Mama : Hivi ndo nimetoka kijiji cha Mkomanzila kwa rafiki yangu kuchukua pipa nikoroge pombe, nikiuza nitakutumia mwanangu. Kazana kusoma
Gozbert...
Ndugu zangu.
Unawezaje kudeal na mwanamke Ambaye!
1.Anaweza akakosea yeye, Na kamwe hata usipomuuliza Hawezi kujielezea kwa nini kakosea Hata kama anajua umekasirishwa na makosa yake...
Leo naomba kuuliza kwa wanandoa, instagram, facebook n.k. zina mchango wowote kwenye kuongezeka wimbi la talaka?
Ewe mwanamume unajisikiaje pale mkeo anapoposti picha kavaa kisuruali cha kubana...
Kwa kawaida tabia za mtu hazijifichi, awe mwanamke au mwanaume. Tatizo tulilonalo binadamu ni kwamba huwa hatuko tayari kuukubali ukweli kwa kujidanganya kuwa tumezama kwenye mapenzi. Mungu ana...
Wakuu habari ya leo. Nina imani afya zenu Ni njema kabisa. Mimi si mwanachama hai wa jukwaa hili, lakini leo nimeona nitoe mchango wangu kama njia ya kuboresha mahusiano.
Kuna tabia ambazo kwa...
Kwa mfano ikitokea hicho kiungo chako unachokipenda na kukupa furaha duniani...kikajeruhiwa kwa ajali yoyote ile,na madaktari wakakuambia hakitakuwa kinafanya kazi tena(hutoweza kufanya sex);baada...
Ni kisa cha kweli, tulikutana ukubwani marafiki watatu tulisoma pamoja shule ya msingi.
1. Ni nesi mkunga, ameajiriwa hospitali ya serikali.
2. Police traffic ni mja mzito na amelazwa kwenye...
Nimekuwa nikishuhudia na hata kuamua na kushauri ugomvi wa wanandoa wengi lakini mara nyingi sababu huwa jambo dogo, la kijinga na hata lisilo na mashiko.
Yaani mpaka unajiuliza hili ndilo...
Mzazi A
Mwanangu sasa hivi umeshakuwa hivyo kuwa na makini na Wanaume dunia imeharibika. Mambo mengine atakuambia Mama yako au Shangazi zako ila Mimi Baba yako naishia hapa.
Mzazi B
Wewe Mtoto...
"Mwanangu ukitaka kufurahia maisha ya ndoa, katu usiwe na mke mmoja tu".
Kisha akendelea , mke mmoja atapambana na wewe kila siku ila ukiwa na wawili watapigania wao kwa ajili yako kila siku...
Leo naungana na wengine dunia walioumizwa na wanawake ambao waliwahudumia lakini mwisho wa siku waliachwa bila ya kuona Tone la huruma kutoka kwa wenza wao wa zamani.
Nasema haya kwa huzuni...
Mpo?????ray nimerudiiiii tena nimejaa teli mpo tyityiiiiii??
Mambo ni mengi muda ni mchacheeeeee
Niliwamissoooo leo nikaona nipitye hapa niwasabahiii hehee mapenzi pesa babu
Yaani n hviii//////...
Mrembo fulani hivi mwembamba mrefu
Majibu ya kunde, mweupe 100%, black beauty
Mcheshi, mtu wa dini heshima kwa kila mtu, ajue jinsi ya kucare, msomi au awe na kitu cha ziada maishani mwake basi...
Habari wadau wa jukwaa pendwa
Uchunguzi nilioufanga kuhusu ndoa nimebaini kwamba ndoa za Mitala za kiislam yaani za mke zaidi ya mmja zinadumu na zinafuraha kuliko ndoa za kikristo za mume mja na...
Naam habari za usiku wakuu
Leo nataka nihitimishe kisanga kilichotokea kule Kibada. Si mbali sana na pale anapoishi Masanja Mkandamizaji, kwa wanaofaham maeneo ya Kibada.
Mwanzo wa mwezi huu...
Huyu dada hapa mtaani kwetu huku Kwamtogole aliolewa na mume mchacharikaji mashallah, walijenga nyumba, mwanaume alianza biashara, alinunua dalala, nyumbani mboga si saba lakini mbili at tatu...
Huyu binti alianza shule ambayo alijikuta ni mweusi peke yake darasani. Sina uhakika kama alidhihakiwa na wenzake. Lakini alimuuliza mama yake alipofika nyumbani ni kwanini yeye yuko tofauti na...