Nataka nitangaze nia ya Ndoa, Before it's too late.

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,047
Movie linaanza, atakuja kwangu weekend sa1 asubuhi kwa nauli yake hapo nimelala atatoa nguo zangu zote chafu, mashuka viatu atafuaa zinang'aa. Ataingia jikoni atasafisha makabati, vyombo ataingia chooni atasafisha usafi wa grade A. Sijamaliza atatoka nje ataosha vioo madirishan, atatengeneza bustan na maua yake. Atapika chai tutakunywaa hapo anaingia room anasafisha mpaka kupanga vitu. Atapika lunch swafii baada ya hapo tunaingia 6x6 nitapewa sweat sex. Atanyoosha nguo zangu vzr pamoja na kupanga kabatini, atabrush shoes

Atarudi jikon kupika kwa ajili ya me dinner, sa1 usik anaaga kurud kwao ni gate kali , anaaga but haombi hela but me huwa najiongeza nampa cash coz ananibarik sana.

Sasa nafikiri binti wa miaka 20 anawazid akil dada wakubwa kabisaa. Sometime namcheat but sion sababu yani daah japo simwoneshi. Binti ni mtii, mnyenyekevu sana japo anahasira sana ukimboa .Jaman hyu bibie ananikosha wacha niwaze ndoa tu nitangaze nia be fore its too late.
 
picha tafadhali.

FB_IMG_15631259137442791.jpeg
 
Maamuzi ni yako chagua moja kusuka au kunyoa
 
oa kamanda
 
Back
Top Bottom