ha ha ha ha angalia 'cheaters tv'Yani ujue kbsa mkeo katoka kuliwa na ushahidi uko wazi.....Hivi hiyo mood ya kumla na ww inatoka wapi!?[emoji848][emoji848][emoji848]
Kinafundisha sana naona kwa sasa kama vile hawako activeHiki kipindi nilikuwa nakipenda sana
ha ha hawanazingua mi sijakiona muda sana. Kila nikivizia hola😆😆😆
🤣🤣🤣 Kubakanaje huku mama anamwaga miuno feni akikamatiwa, sio wanawake wote wenye hulka ya kuzira mkigombana bali ni stupid few.Hawakuwa sahihi..
Sex inaanzia kwenye ubongo..so kama mmegombana hili haliwezekani..
Labda hawa wazee wangemaanisha "kubakana"