Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5...
Kila ndoa inachangamoto zake na maana halisi ya ndoa ni ule uwezo wa wanandoa kuvumiliana katika changamoto hizo. Kuna changamoto za kimungu ambazo wanandoa hawawezi kuziepuka lakini kuna zile za...
Mimi nina mpenz wang ambae hatuishi pamoja yeye anakaa kwao na mimi nakaa geto.
Huwa ana kuja mara kwa mara geto lakini tukifikia kwenye swala la kusex huwa hataki nimvue nguo za juu(shidilia)...
Wakati wa uchumba mambo yanaenda sawia.. Kukutana japo kwa kuibana sehemu tofauti ni burudani tosha na mahaba tele ikiwa pamoja na kuoga pamoja
Baada ya kupata mtoto wa kwanza.. Kuna ka tofauti...
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 24_28.Natafuta mchumba ambaye yuko tayari aje tuyajenge tuanze maisha.
Kwa kuwakumbusha tu, sina nyumba wala gari, aje tuanze kuyajenga kwa pamoja...
mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.
ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo...
Hebu mfunguke leo ni tarehe 26/04/2019 hebu funguka hapa kutoka moyoni. Ni lini mara yako ya mwisho ulingonoka. Mimi binafsi nakumbuka ilikuwa mwishoni mwa mwezi wa pili. Sikumbuki vizuri tarehe.
Hizi couple za vibent mahaba yao si ya n
nchii hii. Ukijifaragua kama kote hawaoni aibu kujibebisha na kubebishana mchana kweupe tofauti na kapo za vijana kwa vijana wapo kama hawapo vile...
Wakuu,
Kuna kundi la watu wameibuka maeneo ya Sinza na Tabata wanazunguka guest/ lodge kununua kondom zilizotumika.
Wanahitaji Kondom ambao ina "bao" ndani, ukiwa nazo wananunua idadi yoyote...
Kesho napiga international game na mtoto wa kinyarwanda, nilimtongoza kama utani lakini mtoto katiki na kesho kasema atakuja kunibariki,
Mwenye namba ya AY nataka nimpigie nimuulize machache...
Na jamaa yangu tunapiga nae kazi campun moja sasa hyu msela kajipatia jimama ni zuri sana kwa umbo, sura, lina stake afu jeupe yaan ni mashaallaahh!!!., Hili jimama ni lina pesa asee hatar ni mtu...
Narudia tena kusema na kuwasihi dada zangu/zetu juu ya suala kuolewa kwa wale wanaotaka na kupenda kuolewa kuwa ni very tactical na linahitaji timing.
Wapo, watakaonitolea mipovu wakijikaza na...
Humu kuna wanaume wenye huitaji wa mwanamke sana tena sifa tunazotaka ila kuna shida moja hawana uaminifu kama huyu msichana au mama au dada kama anamaanisha na hamjui kila mmoja ana avatar ya...
Asalaam aleykum
Wahleik msalaam
Ndugu wapendwa imekua ni kasheshe na mvurugano pale ambapo mama mwenye nyumba akiwa ananikuta na demu,
Akinikuta nimesimama nae barabarani anachukia sana
Nikija na...
Hi guys
I hope mko vizuli,
Mimi siyo mgeni huku kama ambavyo mmeniona ila hii id ni ngeni, nimeamua kuficha jina halisi ili niwe huru kushare hili jambo langu ambalo nimekuwa nikitamani niseme...
Kwa kipindi nilichokaa hapa Mtwara 'nimeshatembea' na wake za watu zaidi ya 20 sasa imagine nikimaliza miaka 2 sijui itakuwaje!
Wanawake hawa ni rahisi mno, sijui tatizo ni nini? Nilivyofika hapa...
Habar za saa izi
Mimi nikijana wa miaka 33 na ninamke, miaka 4 sasa na nina mtoto wa miaka 2 mambo yamebadilika bada ya kudai kwamba naithamanisha familia yangu kuliko yake akawa anacukizwa kuona...
STORY: SHEMEJI MONICA
MTUNZI: Nira Saire
SEHEMU YA KWANZA
?????????????????????
James alikuwa ndo kwanza amemaliza limu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua...