Katoto haka kananichosha

anobreezy

Member
Oct 9, 2018
80
65
Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .

Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
 
Kuna uzi wa jamaa aliefungwa kifungo cha maisha kwa "kumbaka" binti wa miaka 17, nimejaribu kukutafutia link nikuletee ili usome, bahati mbaya sijauona. Huyo jamaa alikua na mahusiano na binti, na kuna siku binti alienda kulala ghetto kwake kabisa.
Be very very careful. Mwambie asome, tena mwambie kwa ukali kabisa na umwambie barua zake zote unazo, akiendelea utaenda kumshitaki kwa wazazi wake tena ukiwa na udhibitisho wa hizo barua zake. Akiendelea ufanye hivyo kweli uende kushitaki kwa wazazi wake ukiwa na lundo la hizo barua zake kama ushahidi, asije kujaribu kukugeuzia kibao mbele ya wazazi wake. (i hope ulikua unazihifadhi).
anobreezy
 
Mwambie akimaliza shule akikukuta hujaoa utaangalia.
Au mwambie unamke sema huku umekuja kikazi tu kwisha .
 
Alifungwa maisha afu akatoka akaja kuandika Uzi wake jf au mbona sijakuelewa
Kuna uzi wa jamaa aliefungwa kifungo cha maisha kwa "kumbaka" binti wa miaka 17, nimejaribu kukutafutia link nikuletee ili usome, bahati mbaya sijauona. Huyo jamaa alikua na mahusiano na binti, na kuna siku binti alienda kulala ghetto kwake kabisa.
Be very very careful. Mwambie asome, tena mwambie kwa ukali kabisa na umwambie barua zake zote unazo, akiendelea utaenda kumshitaki kwa wazazi wake tena ukiwa na udhibitisho wa hizo barua zake. Akiendelea ufanye hivyo kweli uende kushitaki kwa wazazi wake ukiwa na lundo la hizo barua zake kama ushahidi, asije kujaribu kukugeuzia kibao mbele ya wazazi wake. (i hope ulikua unazihifadhi).
anobreezy
 
Katafune mkuu la sivyo katakuletea dharau.Ukirukiwa na kwenda jela utatoka fasta na msamaha wa Raisi!.
 
Alifungwa maisha afu akatoka akaja kuandika Uzi wake jf au mbona sijakuelewa
Relax usome tena, utaelewa.
Kijana aliefungwa maisha kosa lake lilikua ni kutembea na under 18. Niliiona hiyo habari humu JF. Nimetumia hiyo habari kumuonya huyu kijana asije akatembea na huyo binti, asije kufunguliwa kesi ya ubakaji bure kwa sababu ya kutembea na mwanafunzi.
King Elly
 
Katafune mkuu la sivyo katakuletea dharau.Ukirukiwa na kwenda jela utatoka fasta na msamaha wa Raisi!.
Hamna mmi nina mke kabsa kwanza nataka nikashitaki kwa wazazi wake mana hawa watoto pamoja na serikali kuwaangaikia lakni hawajielewi
 
Mkuu achana na wanafunzi jela inakuita, mkazie kabisa mwambie mm mume wa MTU mke wangu akijua ni balaa tena uwe mkali

Wanafunz cjui wananini wakiamua kukuganda utakoma atakufanyia visa mpaka ndugu zake watajua unatoka nae, na wakijua Andika umeumia
Dawa hapo ni kumtishia kwamba atamshitaki kwa wazazi wake akiwa na ushahidi wa hizo barua.
Na akiendelea afanye hivyo kweli... La sivyo huyu jamaa atanasa kwenye mtego. Sisi wanaume ni dhaifu sana when it comes to mabinti, inabidi akaze kweli kweli la sivyo atakua anapiga step kuelekea jela.
 
Nikukumbushe tu kuwa mahusiano na mtoto chini ya miaka 18 tena mwanafunzi, Yatang'arisha nyota ya kusukumiwa ndani.
 
Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .

Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Kuna jamaa kala 30 yrs jana,angalia na wewe tusikupoteze harafu mseme serikali mbaya kama team Membe.
 
Mkuu kama umeshaona ni mdogo wako kuwa na huruma na wazazi wake mwache mtoto asome hali unaona ilivyo wazazi wanajitahidi kweli watoto wao wapate elimu ila watoto wenyewe kama hivyo hawa zingati masomo.
Kweli kbsa mmi nina mke tena nampenda sana lakini hawa wanafunzi hawajielewi pamoja na serikali kuwajali
 
Poleni sana wadau kwa kusaka mkate wa kila siku .
Niingie kwenye mada husika, mimi ni kjna wa kawaida maisha yangu ni ya level ya kawaida 2 lakini hapa mtaani kuna kadent. Nimekazdi kam miaka 5 kametokea kuelewa pigo zangu , yani kananismbua kwa brua toka mwaka jna , japo nilishakaambia kuwa nakachukulia kma mdogo wangu / rafki .

Lakini kananichosha kanapo nambia kapo tyari kufanya lolote kwa ajili yngu.
Mbaya zaid ni kadent.
Una miaka mingapi mkuu?
 
Bado ni kadent, we unakazidi miaka mitano! Wote nyie ni watoto tu hakuna mwenye akili ya mtu mzima. Kama ungeendelea na shule ungekuwa hujamaliza masomo. Naona nyie wote bado mko home kwa mshua.
 
Hawa wanafunzi hawajielewi kbsa pamoja na serikali kuwajali lkni baadhi hawajitambui
 
Back
Top Bottom