BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,801
Wakuu,
Kuna kundi la watu wameibuka maeneo ya Sinza na Tabata wanazunguka guest/ lodge kununua kondom zilizotumika.
Wanahitaji Kondom ambao ina "bao" ndani, ukiwa nazo wananunua idadi yoyote ulizonazo kwa sh. elfu mbili kwa kila kondom uliyonayo.
Wajanja wakaanza kuweka kamasi ndani ya Kondom, jamaa wanazitambua wanasema hili sio bao.
Wakiulizwa wanaenda kufanyia nini hizo kondom hawatoa majibu yalinyooka.
Chukue tahadhali wakuu, dunia imebadilika sana. Sasa sijui ni watu gani hawa, wamekuja lodge kwetu mara mbili tumegoma kuwauzia.