Mama mwenye nyumba hataki kunionana nina urafiki na msichana yoyoye

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Asalaam aleykum
Wahleik msalaam
Ndugu wapendwa imekua ni kasheshe na mvurugano pale ambapo mama mwenye nyumba akiwa ananikuta na demu,
Akinikuta nimesimama nae barabarani anachukia sana
Nikija na msichana ndani kwangu hata kama ni rafiki yangu ndio basi kabisa atachukia wiki nzima maneno kibao ya kipumbavu,
Mama mwenyewe ni bibi kizee
Ushauri wenu nimfanyeje mimi au siku moja nimchape vibao ndio anijue kua mimi sio wakuja?
 
HUENDA LABDA ANAKUTAKA...

ACHANA NAE USIMZINGATIE

NDIO MAANA NACHUKIA KUPANGISHA NYUMBA NA MWENYE NYUMBA ANAISHI HAPOHAPO..VISA HAVIISHI YAANI
 
Asalaam aleykum
Wahleik msalaam
Ndugu wapendwa imekua ni kasheshe na mvurugano pale ambapo mama mwenye nyumba akiwa ananikuta na demu,
Akinikuta nimesimama nae barabarani anachukia sana
Nikija na msichana ndani kwangu hata kama ni rafiki yangu ndio basi kabisa atachukia wiki nzima maneno kibao ya kipumbavu,
Mama mwenyewe ni bibi kizee
Ushauri wenu nimfanyeje mimi au siku moja nimchape vibao ndio anijue kua mimi sio wakuja?
Kula mzigo akusamee kodi ya pango. Were vipi?
 
Back
Top Bottom