katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Humu kuna wanaume wenye huitaji wa mwanamke sana tena sifa tunazotaka ila kuna shida moja hawana uaminifu kama huyu msichana au mama au dada kama anamaanisha na hamjui kila mmoja ana avatar ya uongo ambayo si uhalisia wa kweli majina ni tofauti naumbali unachangia .
Hata woga unachangia hivi huyu dada ni mwaminifu huyu ni mkweli je nikimfukuzia sintoopigwa na boyfriends zake??.
Woi nandio the same to ladies.
Hay basi ndio maana humu kulalama ni kawaida watu wanaenda kulana tu ila kuna part moja iko serious ingine ni player.
Mimi kweli uhitaji wa mtu ninao ila huku siko serious kwa ajili hiyo ndio maana niko open na write anything ambayo nataka na wanasema maneno mengi mabaya ila sijali because hatujuani pressure zanini.
Mume hutoka kwa Mungu na mke hutoka kwa Mungu.
Nikienda shule hujui ataniona huko au nikiwa naenda sokoni au kufurahia sehemu namkuta my love na mnasikia nimesahau huku kabisa kumbe nimepatwa.
Waweza kumdharau mtu humu ukaja kumuoa na hamjuani baadae kumbe unamkuta ni demiss au ni mwingine .
Maisha nikumuheshimu mtu usipende kumtupia mtu lawama.
Hujui huyo unayemdharau ndio anatakusaidia uko mkoa wawatu.
Madharau ni mabaya kama wewe umezoea kudharau watu .
Nimemaliza yangu i hope mmenielewa .