Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
Hebu mfunguke leo ni tarehe 26/04/2019 hebu funguka hapa kutoka moyoni. Ni lini mara yako ya mwisho ulingonoka. Mimi binafsi nakumbuka ilikuwa mwishoni mwa mwezi wa pili. Sikumbuki vizuri tarehe.