Kesho nina game moja makini na mtoto wa kinyarwanda

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kesho napiga international game na mtoto wa kinyarwanda, nilimtongoza kama utani lakini mtoto katiki na kesho kasema atakuja kunibariki,

Mwenye namba ya AY nataka nimpigie nimuulize machache kuhusu hawa kama nao ni wa katerero kama wa kule kanda ya ndizi(mto ngono na kijiji cha katerero nazungumzia bukoba) au ni wakavu kama mademu wa kichagaaaa,

sitawaangusha ndugu zangu nitahakikisha nafanikiwa kuimarisha diplomasia yetu na watoto wa kinyarwanda.

Cc Zero IQ
 
Wakilisha vema Taifa. Ukifeli tutaonekana wote wanaume wa Dar
FB_IMG_1553014755557.jpeg
IMG-20190309-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa karibia kila wiki unaleta uzi eti "Kesho nina game"
Tunataka siku uje na thread "Kesho nahamia mjengoni kwangu" kama alivyofanya Raybaby
 
We jamaa karibia kila wiki unaleta uzi eti "Kesho nina game"
Tunataka siku uje na thread "Kesho nahamia mjengoni kwangu" kama alivyofanya Raybaby
Sina mjengo mkuu na ata pesa ninayopata haitoshi kujenga ata kama nitaikusanya kwa miaka kumi

Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom