Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Na jamaa yangu tunapiga nae kazi campun moja sasa hyu msela kajipatia jimama ni zuri sana kwa umbo, sura, lina stake afu jeupe yaan ni mashaallaahh!!!., Hili jimama ni lina pesa asee hatar ni mtu mkubwa sana moja ya bank maarufu hapa nchini so pesa kwake ni kitu kidogo. Lina watoto 2 tu mmoja yuko form6 na mwingine std4. Hyu mama age yake ni 39 yrs
Jamaa anasema hafikirii sahiv kuwa na mwanamke mwingine au kumcheat hyu mama coz huyu mama kajitoa sana kwake, yani anampenda sana jamaa yangu. Jamaa anaendelea kunipa story kuwa mapenz ni hadharan yani anaheshima sana hyu mama jamaa anatambulishwa kwa marafiki wa hyu mama, jamaa anahudumiwa kama mme sahiv jamaa anapewa mahaba ambayo anasema ever hajawai pata maishani akaenda beyond zaid kuwa baada ya kwichi hyu mama huwa anakanda mkuyenge wake kwa maji ya vuguvugu yani ni mapenzi moto.
Jamaa anasema hyu mama kwakwel anamfanya kuona wadada wa age
Jamaa kashatambulishwa kwa wanae sahiv na hawa watoto wana adabu kwa bamdogo wao mpya. Jamaa kanikutanisha jana na hyu mama., asee hyu mama ni fire anacare so poaa mpaka nkaanza ona wivu[emoji3]
Akina dada mnakwama wapi?? Vijana wamehia hku kwa mijimama shida ni nini nyie dada zetu??