Wanawake ambao hamjaolewa msikate tamaa one day yes, mtaolewa tu

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.

ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo, atajitokeza tuu wa kukuoa one day, no matter how !, No matter what !

aseee ! ninayaongea haya nikiwa nina uthibisho mazeee !

leo bana katika pitapita zangu FB nimefumania picha za harusi ya EX wangu et nae kapata mume, duuuuh !!, alikua mfano wa mwanamke dunga embe, yani bonge la pasua kichwa mwenye tabia chafu kabisa, lakini nashangaa tayar kashapata boya wake nae kamkamata, na sasa ni mke wa mtu.

asee! ila jamaa aliemuoa yule manzi namuonea huruma sana, ni Kama amekumbatia bomu linahesabu tuu sekunde linasubiri mda ufike lilipuke maseee !

aseee ! hatawewe ambae hujaolewa usiwaze, haijalishi upo vipi au unatabia gani, uwe singo maza hata unawatoto watano, usijali ipo siku tuu na wewe utapata boya wako utamkamata atakuoa tuu.

NAKIPUMULIA KIPAZA !
 
Hivi ni kwa nini wanaoumia sana kuhusu Wanawake kutoolewa ni Wanaume na siyo Wanawake wenyewe? Kwa maana kwa kawaida haya malalamishi ulioandika yalipaswa yaandikwe na Wanawake wenyewe, inaonekana wenye shida na stress kukataliwa na Mademu ni watu aina yako vinginevyo isingekusumbua ,,wanawake kutoolewa“ wee ungeoa na kupotezea tu!
 
Mbona kama umepanick Bro take easy tu kamata wako OWA nawewe,Real Men hatuko hivo bhana unayumba.
 
Hivi ni kwa nini wanaoumia sana kuhusu Wanawake kutoolewa ni Wanaume na siyo Wanawake wenyewe? Kwa maana kwa kawaida haya malalamishi ulioandika yalipaswa yaandikwe na Wanawake wenyewe, inaonekana wenye shida na stress kukataliwa na Mademu ni watu aina yako vinginevyo isingekusumbua ,,wanawake kutoolewa“ wee ungeoa na kupotezea tu!
mbona kama umeumia sana ? mimi nimeandika nikimaanisha title inavyomaanisha nikatoa na mfano
 
mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.

ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo, atajitokeza tuu wa kukuoa one day, no matter how !, No matter what !

aseee ! ninayaongea haya nikiwa nina uthibisho mazeee !

leo bana katika pitapita zangu FB nimefumania picha za harusi ya EX wangu et nae kapata mume, duuuuh !!, alikua mfano wa mwanamke dunga embe, yani bonge la pasua kichwa mwenye tabia chafu kabisa, lakini nashangaa tayar kashapata boya wake nae kamkamata, na sasa ni mke wa mtu.

asee! ila jamaa aliemuoa yule manzi namuonea huruma sana, ni Kama amekumbatia bomu linahesabu tuu sekunde linasubiri mda ufike lilipuke maseee !

aseee ! hatawewe ambae hujaolewa usiwaze, haijalishi upo vipi au unatabia gani, uwe singo maza hata unawatoto watano, usijali ipo siku tuu na wewe utapata boya wako utamkamata atakuoa tuu.

NAKIPUMULIA KIPAZA !
Utajiwaje uenda mwanaume nayeye ni bomu, bomu kwa bomu zitapasuawana sijui matokeo yake yatakua vip
 
mimi ndimi.
mbele ya upeo ya macho yenu.

ebbana wakina dada ambao hamjaolewa najua mnakuaga na stress sana, ukiangalia umri unakimbia kama mwendokasi, yani jua ndio linazama, lakini msife moyo, atajitokeza tuu wa kukuoa one day, no matter how !, No matter what !

aseee ! ninayaongea haya nikiwa nina uthibisho mazeee !

leo bana katika pitapita zangu FB nimefumania picha za harusi ya EX wangu et nae kapata mume, duuuuh !!, alikua mfano wa mwanamke dunga embe, yani bonge la pasua kichwa mwenye tabia chafu kabisa, lakini nashangaa tayar kashapata boya wake nae kamkamata, na sasa ni mke wa mtu.

asee! ila jamaa aliemuoa yule manzi namuonea huruma sana, ni Kama amekumbatia bomu linahesabu tuu sekunde linasubiri mda ufike lilipuke maseee !

aseee ! hatawewe ambae hujaolewa usiwaze, haijalishi upo vipi au unatabia gani, uwe singo maza hata unawatoto watano, usijali ipo siku tuu na wewe utapata boya wako utamkamata atakuoa tuu.

NAKIPUMULIA KIPAZA !
usikute kashabadirika mtu yukogo dynamic jayuko static kama culture.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom