Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wa jf, natumani wote nyiye ni wazima sasa nilikuwa naomba hasa kwa wanawake wanisaidie aina za chupi nzuri zilizo kwenye trend kwa sasa hivi pamoja na brazia nzuri lengo ni kumnunulia...
4 Reactions
107 Replies
22K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,mimi nikijana mwenye umli 36 natafta mchumba wa kike,haijalishi nidinigani Jambo muhimu awenimuelewa mkalimu asiye nagubu nazaidi ya yote asinipenda Sana ila...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimeamua kuitisha kikao cha dharura kwa wanaume wote tukubaliane viwango vipya vya kuhonga....hali ya uchumi ni mbaya na familia zetu zinataabika. Nina mtazamo kuwa viwango vya kuhonga iwe ni...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
Mimi nimekuwa sielewi maana halisi ya kumjali, kumthamini na kumuheshimu mwanamke kwa kipindi kirefu sasa na nimeona nishare nanyi mnisaidie. Maana ni lugha iliyozoeleka kwa wanawake kuongelea...
1 Reactions
64 Replies
28K Views
Siyo kwamba alikuwa mzuri sana hapana ila kuna vitu frani nilikuwa napata kutoka kwake kule kujari kwake na kuona dhamani yangu ndio kitu pekee nimemisi hakukuwa na simu kama sasa hivi kusema muda...
5 Reactions
22 Replies
7K Views
Nimebahatika kukaa na mpenzi wangu kwa miezi kadhaa ukweli nilimpenda lakini mara kwa mara nimeanza kuvunjika moyo kwa sababu zifuatazo Hapendi kuelekezwa na ukimuelekeza anapokosea huzira kupika...
1 Reactions
30 Replies
46K Views
This is how girls feel when boys block them.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1:Aliyekubikiri sehemu husika 2:Aliyekubikiri sehemu isiyohusika 3:Aliyekuzalisha(lakini alikukuta huna bikra zote) ______________________________________ Juzi nilimsikia mpangaji mwenzangu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, kuna mpenzi wangu tuna muda wa miaka miwili sasa ninaishi nae leo wakati tukiwa faragha tukitaka kufanya majambozi katika utani utani kitandani tukiwa kunachekia simu zetu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu. Na...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Kwenye wimbo WA Tetema Daimondi amesikika akitaka msambwanda WA buku jero sasa huu n muda muafaka atupe mrejesho wa kuwa alipata kwel???? Kama alipata bas inapidi utupe lokeshen kuwa ni wapi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Victorian Era enzi za utawala wa Malkia Victoria enzi ambazo Uingereza ilikuwa na makoloni mengi Afrika na sisi kuiga ustaarabu wa mzungu. Ilikuwa ni fedheha mke wa mtu kuwa mwajiriwa. Mwanamke...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Msaada jamani, Leo siku ya tano bado sijapata chimbo za hapa mtwara mjini. Maaneo ya kujirusha na yenye watoto wazuri sijaona, naomba anayepafahamu vizuri mtwara anijulishe nitie nanga,
0 Reactions
20 Replies
17K Views
#NAKUMBUSHA_TU #AMRI 6 ZA UZINZI: 1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe. 2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au boda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wachakataji wote nawapa kongore mimi kama mwenyekiti wa uchakataji naona kazi inaendelea vizuri sana leo siku ya nane nane, Nimepita lodge/gest karibia 4 hapo mjini leo nikiwa na chombo...
1 Reactions
7 Replies
910 Views
Hello forums. Chat and Talk
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Alfajiri ya tarehe nane mishale ya saa kumi na mbili kamili (asubuhi) ntakuwa napata stafutahi bongo kutokea kusini. Usiku wake ntakuwa mahali DJs wanapiga old school. Na ukiingia ukaona kizee...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Free Erick Kaflag! Those girls who were born in 1990, I'm reminding you that in 2020 you will be 30 years old. Continue with your Stupid questions like "who gave you my number! All you know...
0 Reactions
8 Replies
685 Views
Nilikua ninaangalia documentary ya ndoa ya Charles na Diana siku nyingi kidogo. Usiku kabla ya ndoa ndiyo wa mama watu wazima walimkalisha Diana na kumwambia mume wako ana uhusiano wa kimapenzi...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom