Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

Imebidi nimlishe mke wangu chakuka bila mboga

vposterior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
732
Reaction score
1,232
Habarini wana MMU. Licha ya mazuri mengi sana ninayofanyiwa na mke wangu ila kuna kitabia kimoja kinanikwaza sana, ni hivi ninapotoka zangu job nikiwa nimebeba chochote mke wangu hajawahi kunipokea na nishamwambia kuwa mm huwa napenda japo kuonyesha tu nia ya kunipokea ila wapi hataki. Sasa jana nimerudi zangu nje nakuja home na kafuko cha kilo ya nyama my wife kakaa nje na jirani zetu nafika ata kuinuka, kwa bahati jirani kanitania "nikupokee" aaaah mm nimeona hapa hapa ndipo pakumfunza wife nimempa jirani kifuko cha nyama, ikabidi jana tule bila mboga japo na yeye ucku kaninyima nyama yake lakini naamini itakuwa funzo.
 
Lakini jamaa amesema amemuambia mara kibao lakni mke wake haonekani kubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!

Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!

Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
 
Amemuambia wakati gani, wakiwa wachumba au akiwa tayari mke!

Kuna vitu vidogo tunavyopuuzia wakati wa uchumba ambavyo vinatugharimu tukiwa kwenye ndoa!

Imagine mke hampokei mume, unadhani ataweza kumwambia pole?!
Ni ngumu kumuambia na kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa hata mume wako akuudhi vipi haitakiwi umnyime unyumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke hana adabu! Na kama alikuwa na hiyo tabia toka wakiwa wachumba na akaivumilia basi asilalamike!

Angemrekebisha kabla hajaingia kwenye ndoa!
Wachumba hawaishi pamoja dada. Utazijua tabia za mtu pale mtakapoanza kuishi pamoja rasmi. Uchumba Raha sana kila mtu pretender
 
Back
Top Bottom