Napendwa mimi sipendi ,napenda mimi sipendi

sukariyawarembo

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
169
Reaction score
119
Habari.

Mimi jaman kuna jambo lanitatiza, kuna demu ananipenda kuliko maelezo yaan sana tu kila kitu anafanya yaan nikisema kila kitu muwe mnaelewa. (Kufua, kupika, kuosha, kudek nakadhalika) tuki nae mwaka wa pili huu. Lakin mimi simpendi na sio chaguo namba moja kuoa ana miaka 24.

Ila kuna hako binti ana miaka 18 ,tuko mwaka mmoja kwenye mahusiano, ninampenda hadi nalia peke angu, ila kenyew ananipenda kidogo sio sana. Mfano nikimletea zawadi lazima akosoe, hanifulii japo huwa anipika ila kwa mbinde, kuja nyumban kwangu hadi aamue mwenyewe.

Kama hataki kitu huwezi kumlazimisha la sivyo kananuna,, haniiti majina mazuri mfano sweet,hubby,sinyonyo,dear, banana, my king, n.k. kenyew kaniita tu we shubiri yaw arembo njoo apa.

Sasa nataka kuoa, sasa najiuliza yupi wa kuoa kati yao?

,
 
Habarini.

Mimi jaman kuna jambo lanitatiza, kuna demu ananipenda kuliko maelezo yaan sana tu kila kitu anafanya yaan nikisema kila kitu muwe mnaelewa. (Kufua, kupika, kuosha, kudek nakadhalika) tuki nae mwaka wa pili huu. Lakin mi simpendi na sio chaguo namba moja kuoa. ana miaka 24.

Ila kuna hako kabinti kana miaka 18 ,tuko mwaka mmoja kweny mahusiano, ninakapenda hadi nalia peke angu,, ila kenyew kananipenda kidogo sio sana. Mfano nikikaletea zawad lazima kakosoe,, hakanifulii,, japo huwa kanipika ila kwa mbinde,, kuja nyumban kwang hadi kaamue kenyewe. ,,kama hakataki kitu hukawezi kukalazimisha la sivyo kananuna,, hakaniiti majina mazuri mfano sweet,, hubby,, sinyonyo,,,dear,,, banana,,, my king, n.k. kenyew kaniita tu we SHUBIRIYAWAREMBO njoo apa.

Sasa nataka kuoa,, sasa najiuliza yupi wa kuoa kati yao? /???.
,
Sinyonyo 😀
 
Hakuna anayekufaa hapo mkuu, Huyo wa pili hana mapenzi Huyo wakwanza
inaonesha hata mwenyewe hajipendi kwa kukubali kukunyenyekea wewe hivyo
ana mapungufu ya akili.
 
Ndo hivyo ni nature hiyo,Mbona sisi watanzania tunipenda ccm ila yenyew haitupendi ndo mapenzi hayo
 
We jinga kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninakapenda hadi nalia peke angu,, [emoji16][emoji16] nmecheka
 
Habarini.

Mimi jaman kuna jambo lanitatiza, kuna demu ananipenda kuliko maelezo yaan sana tu kila kitu anafanya yaan nikisema kila kitu muwe mnaelewa. (Kufua, kupika, kuosha, kudek nakadhalika) tuki nae mwaka wa pili huu. Lakin mi simpendi na sio chaguo namba moja kuoa. ana miaka 24.

Ila kuna hako kabinti kana miaka 18 ,tuko mwaka mmoja kweny mahusiano, ninakapenda hadi nalia peke angu,, ila kenyew kananipenda kidogo sio sana. Mfano nikikaletea zawad lazima kakosoe,, hakanifulii,, japo huwa kanipika ila kwa mbinde,, kuja nyumban kwang hadi kaamue kenyewe. ,,kama hakataki kitu hukawezi kukalazimisha la sivyo kananuna,, hakaniiti majina mazuri mfano sweet,, hubby,, sinyonyo,,,dear,,, banana,,, my king, n.k. kenyew kaniita tu we SHUBIRIYAWAREMBO njoo apa.

Sasa nataka kuoa,, sasa najiuliza yupi wa kuoa kati yao? /???.

,

Upendo hata hauna mahusiano na hayo mambo uliyoyaorodhesha, kupikiwa, kufuliwa, kuoshewa vyombo si kipimo cha upendo

Update kidogo namna unavyo ufikiria upendo
 
Habarini.

Mimi jaman kuna jambo lanitatiza, kuna demu ananipenda kuliko maelezo yaan sana tu kila kitu anafanya yaan nikisema kila kitu muwe mnaelewa. (Kufua, kupika, kuosha, kudek nakadhalika) tuki nae mwaka wa pili huu. Lakin mi simpendi na sio chaguo namba moja kuoa. ana miaka 24.

Ila kuna hako kabinti kana miaka 18 ,tuko mwaka mmoja kweny mahusiano, ninakapenda hadi nalia peke angu,, ila kenyew kananipenda kidogo sio sana. Mfano nikikaletea zawad lazima kakosoe,, hakanifulii,, japo huwa kanipika ila kwa mbinde,, kuja nyumban kwang hadi kaamue kenyewe. ,,kama hakataki kitu hukawezi kukalazimisha la sivyo kananuna,, hakaniiti majina mazuri mfano sweet,, hubby,, sinyonyo,,,dear,,, banana,,, my king, n.k. kenyew kaniita tu we SHUBIRIYAWAREMBO njoo apa.

Sasa nataka kuoa,, sasa najiuliza yupi wa kuoa kati yao? /???.

,
kosea kujenga utavunja ila kuoa utafurahia show.
 
Hakuna anayekufaa hapo mkuu, Huyo wa pili hana mapenzi Huyo wakwanza
inaonesha hata mwenyewe hajipendi kwa kukubali kukunyenyekea wewe hivyo
ana mapungufu ya akili.
She is complete wife material kabisa na atakeyemuoa atafurai.
 
Tafuta demu mwingine akupende na umpende hapo hao wote ulionao ni chenga tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom