Nimemtongoza siku ya tatu leo tayari ameanza kunitoboa

Nimemtongoza siku ya tatu leo tayari ameanza kunitoboa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,201
Ni siku ya tatu tangu nimtongoze huyu Single mother na kukubaliana nae kiutu uzima kuhusu kuunganisha vikojoleo vyetu,

--Sasa Siku ile ile yaani juzi baada ya kukubaliana tu jioni kanicheki mwanae anaumwa nikatoka kumsindikiza hospitali na kulipa

--jana kanicheki nikamnunulia baadhi ya mazaga ya pale gheto kwake

--Leo mchana kanicheki kasema kesho anaomba nimpe hela ya kusukia sijui Rasta nikasema ok sawa hapa najua haipungui 25K

--Jioni hii muda si mrefu kanicheki kasema anaomba 15K akatoe kwenye mchezo wake kijumbe anamsumbua,

Sijamjibu bado namfikiria maana hata Mbunye yake bado sijailamba ila naona kaja na moto.
 
Aha mkuu nilimpa elf kumi
nkamwambia anvumilie c akakubari
nkamvuta geto akaja
tangu atoke ananionaga tu
na msg sijibu
nlimpenda ila vikoba sana
Aiseeee mkuu hawa wa vikoba wanaboa balaaa
 
Hpo tayar kashabug..hata kama ulikua na nia/mawazo ya kumsapot ye na mwanae lazma ukate tamaa.
Mkuu ni mzuri mzuri ofcourse nilipanga ata kuweka kambi ila kwa style hii nasubiri nigonge nisepe
 
Back
Top Bottom