Habari zenu wadau na poleni kwa kuwavamia asubuhi km hii. ni member mpya lkn ni mdau wa miaka mingi humu natembelea si chini ya mara tano kwa siku na kwa miaka mingi.
kwenye mada!
kuna binti...
kuna kawimbo kakichokozi mno kanaimbwa na wazee fulani hivi kibarazani huku wakinywa bia
Mmoja anaaza....
Matembele.....
Wengine wanaitikia...
Matembele ni matamu kama mke wa jirani...
Halafu...
Wakubwa Habari za wakati huu.?
I hope mko poa,,Bas bhana leo kuna chaliangu alinipitia kumsindikiza kwa Manzi ake,Kwakua ni mwamba sikuona kwere yoyote so nikaamua kumsindikiza...
Mahusiano mengi huwa yanafanyika kwa kificho,na hii ni ishara ya kutokuaminiana au upande mmoja haujaukubali upande mwingine kwa 100%. Je ukiwa na mwenzako huwa unaujasiri wa kumshika mkono...
Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia na kumfanya...
Ulimtafutia mchumba ndugu yako mwaka mmoja baada ya kuoana ndoa yao inaanza kuwa ndoana,Mara kadhaa unaletewa mashtaka na mara zote upande mmoja unaonekana una shida kubwa,je ukiamua kutengeneza...
Katika maisha ya kawaida,ukimueleza mtu shida zako au matatizo yako na akashindwa kukupa ushauri au usuluhishi wa maana...na matokeo yake anakuambia tumuachie Mungu,jua ya kuwa huyo mtu hana...
Leo ilikuwa siku ya kuonana na mchumba wangu lakini mda wa asubuhi akaniaga anaenda kwa shangazi yake ni mbali kiasi na kaniambia anataka nauli nikampa 50,000 sababu ni mbali kiasi.
Sasa mida ya...
Habari za muda huu wadau wa JF, bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye topic. Issue ipo hivi;
Kuna demu mmoja anajishughulisha na mambo yake hapa mjini, nilianza mahusia naye...
Habari za jioni wana MMU,
Mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when I was still katoto but I never took it serious until...
Tarehe 13 Juni 2018, msamaria mwema alipiga simu namba 116 – Huduma ya Simu kwa Mtoto akiripoti kisa cha mtoto aitwaye Irene* (sio jina lake halisi), mwenye umri wa miaka 10 ambaye anaishi na bibi...
Asubui unakimbilia kutoa smart card kisa mtu anayebaki nyumbani na watoto wako na pia anayekupikia asiangalie TV......tuweni na utu jamani. Hawa wanaishi kama sisi...mpe ratiba yako ya kazi then...
Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie...
Kwenye mizunguko ya apa na pale nmegundua kua suluhisho mbadala kwa wale wenye matatizo ya uhanisi na nguv za kiume
USHAURI: Tembelea Mlimani City Siku Za Weekend Alaf Ukae Kwenye Vile Vibenchi...
Kuna mambo mengine wanawake huwa wanajisahau sana.
Eti utakuta umezaa na kuishi na mke / mwanamke wako kwa kipindi fulani, sasa mnapogombana anaamua kuondoka na kukimbia na mtoto ili akukomeshe...
Andika maumivu, zile shanga au cheni anazovaa demu wako sio kwa ajili yako tu, zile ni kwa ajili ya wengine pia atakaokutana nao huko kwny mishe mishe zake!
Ndio maana hata asipokuwa na wewe bado...
Hello Guys
Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!
Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo...
Naomba utaje sababu kuu ambazo zinasababisha 99% ya akina Dada wengi kuwachukia na kutokuwa na Uhusiano mzuri na Wapenzi / Wake za Kaka zao.
Naomba kuwasilisha.
Habarini ndugu zangu
Mimi umri wangu bado sijafikisha miaka 30 ila nimkubwa kiukweli yaani nimekuwa mkubwa. Swali langu hapo juu linajieleza,
Siku, miezi, miaka inavyozidi kwenda nimekuwa...