Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,202
- 62,263
Katika maisha ya kawaida,ukimueleza mtu shida zako au matatizo yako na akashindwa kukupa ushauri au usuluhishi wa maana...na matokeo yake anakuambia tumuachie Mungu,jua ya kuwa huyo mtu hana msaada kwako. Kwa kawaida binadamu ameumbiwa changamoto na changamoto zinatakiwa zitatuliwe na binadamu wenyewe.