Kipi Bora?

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,464
6,510
Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?
 
Kuwa na mwanaume mwenye hisia kwako ndio kitu bora . katika mahusiano hatutafuti tunaowapenda .tunatafuta wanaotupenda sisi .
 
Mkuu naomba unisaidie kunipa jibu la hili swali lako kwa upande wangu nimekwama.
Mapenzi ni HISIA za upendo alizonazo mtu juu ya mtu au kitu fulani.
Have you ever fell in love with somebody or something?
 
Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?
usijidanganye kujaribu kumpenda mtu ambaye huna hisia naye maana utakua unajilazimisha mwisho wa siku utamchoka na unaweza kukuta ukakutana na mwanaume mwingine ambaye unaa hisia naye utamuacha huyu wa kwanza na kuwa na mwingine na hapo ndipo wanawake mnapoanza kuonwa watu wa ajabu...mfano jamaa unafake love kwake maana yake hisia huna ila jamaa yeye anajituma kukufurahisha na kukuhudumia kwa kila anacho weza mwisho unakuja kumletea habari nyeusi na kwakitu ambacho ulikijua toka mwanzo ulikijua hapo ndo wengi wenu mnaishia kuuliwa...ushauri wangu ni kwamba kaa tulia wanaume watu wapo utapata unayempenda na ambaye una hisia naye kama huna kitulize hiko kidude kwenye chupi yake....usikurupike...
 
Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?
mapenzi ni hisia kwahiyo kama hakuna hisia hakuna mapenzi...it means yatakushinda na mwisho wa siku utaingia kwenye uadui kwa uzembe wako,
 
Hakuna bora hapo cha msingi mpendane kwa kiasi. Kuwa na anaekujali lkn huna hisia nae ni utumwa. Lakini pia kumpenda asijejali sana ni maumivu.
 
Mwanaume akikupenda atakujali mambo ya msingi. Ila ukiona mwanaume hakujali jua hakuna mapenzi

Note: Ni kuomba nyote mkapendana.
 
Back
Top Bottom