Nimedanganywa

Nimedanganywa

CHAHEMB A

Member
Joined
Sep 18, 2019
Posts
20
Reaction score
11
Leo ilikuwa siku ya kuonana na mchumba wangu lakini mda wa asubuhi akaniaga anaenda kwa shangazi yake ni mbali kiasi na kaniambia anataka nauli nikampa 50,000 sababu ni mbali kiasi.

Sasa mida ya jioni hivi niko zangu natembea nikaona kihoteli flani hivi nikaingia kupata soda. Ile naendelea kuburudika na soda yangu nashangaa kuona mgongo kama wa demu wangu cha ajabu Ile naangalia vizuri ni yeye kabisa na kakaa mwenyewe😗😗.

Nikasogea pembeni nikampigia simu na ikaita huku namuangalia inavyoita akapokea nikamwambia pole na Safari akasema asante na akaendelea mimi mzima nimefika salama na unasalimiwa sana😂😂😂.

Ingekuwa wewe ungefanyaje?
 
Huyo hapaswi hata kuachiwa mtoto.....
 
Hivi kuna kapromo wamiliki wa jf wameifanya mahali ili members waongezeke humu? Sio kwa mafuriko haya[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Leo ilikuwa siku ya kuonana na mchumba wangu lakini mda wa asubuhi akaniaga anaenda kwa shangazi yake ni mbali kiasi na kaniambia anataka naur nikampa 50000 sababu nimbali kiasi so nikampatia tukaagana sasa mida ya jioni hivi Niko zangu natembea nikaona kihotel flani hivi nikaingia kupata soda Ile naendelea kuburudika na soda yangu nashangaa kuona mgongo kama wa demu wangu cha ajabu Ile naangalia vizur ni yeye kabisa na kakaa mwenyewe[emoji10][emoji10]nikasogea pembeni nikampigia cm na ikaita huku namuangalia cm inavyoita akapokea nikamuuliza pole na Safari akasema asante na akaendelea mim mzima nimefika salama na unasalimiwa Sana[emoji23][emoji23][emoji23] angekuwa wewe ungefanyaje,
Hongera kwa kuchezewa akili hapo anasubiri dyudyu la yuyuuu
 
Ningekuwa mimi ningevumilia hadi nione aliyemsubiria.
Maana najua wakitoka hapo ni chumbani kula vitu vitamu a.k.a vitamin mgegedo.

Kwani, bado una nia naye tena?
 
Niko zangu natembea nikaona kihotel flani hivi nikaingia kupata soda Ile naendelea kuburudika na soda yangu

Acha kutushika masikio basi...

Hivi kweli kuna mtu huwa anaenda "kihotel" fulani kwa nia ya kunywa soda tu???
 
Sasa uliona mgongo inamaana alikuwa uchi au alikuwa kavaa tu sidiria?
 
Back
Top Bottom